Anazingua ni kama wale wanaofungua kampuni zinakamilika wanazitelekrza hukoAisee nchi hii
Uzuri mashine inasoma.jumla ya mauzo kwa mwaka
Unatakiwa utumie mashine wakikukamata utakoma tena usije ukaenda kusema huuutopolo
Sema Tu biashara mbaya.kuna.siku huuzi kabisa
Japo nimeelewa nisamehe wewe ni kiazi mbatata
Mwisho wa siku waanze kupekua na visivyotakiwa kuonekana tena. Nikiepuka huu msala sitarudia tena.Anazingua ni kama wale wanaofungua kampuni zinakamilika wanazitelekrza huko
Ndo wanakutana na fines & penalties za SDL, PAYE, hawajafanya estimation, mara WHT, hujatuma financial statements! Kazi kweli kweli
Ni mtu mmoja. Nikienda sijui naeleza nini...tena nisimkute yule jamaa tena this time,anaongea sana na hasikilizi kabisaBiashara yako ina fall kwenye category gani, sole proprietorship, (mtu mmoja), partnership (mnashea) ama ni kampuni?
Kwanini ulisajili mfumo wa EFD na hutoi risiti ? Hilo ni kosa kubwa sana na wakikubaini fines & penalty zitakuhusu pasipo kuonewa huruma
Ulifanya makadirio ya Kodi ! Je unaandaa vitabu vya hesabu , nikimaanisha financial statements?
Huoni kutakuwa na tofaut kubwa ya sales za kwenye zreport na ile unayoandika kwenye daftari ama Tally/quick books?
vipi kuhusu manunuzi?
Aseeh jitahidi ku comply na TRA guidelines ili kuepuka further notice of discussion.....
Kila la khery mkuu
Asante kwa ushauri japo na matusi juuAisee nchi hii
Uzuri mashine inasoma.jumla ya mauzo kwa mwaka
Unatakiwa utumie mashine wakikukamata utakoma tena usije ukaenda kusema huuutopolo
Sema Tu biashara mbaya.kuna.siku huuzi kabisa
Japo nimeelewa nisamehe wewe ni kiazi mbatata
Nisamehe lakini nimeelewa kiasiAsante kwa ushauri japo na matusi juu
Aseeh jitahidi kabla hujafanya makadirio ya mwaka unao anza uonane nao sijui utawaambia nini ?Ni mtu mmoja. Nikienda sijui naeleza nini...tena nisimkute yule jamaa tena this time,anaongea sana na hasikilizi kabisa
Ok ni sole, una biashara kubwa nadhani mpaka una EFDMwisho wa siku waanze kupekua na visivyotakiwa kuonekana tena. Nikiepuka huu msala sitarudia tena.
Acha ufala wewe.ukienda sema biashara mbaya .kuna siku huuzi kabisa.sema mashine unatumia hata Kama umeuza pipi.tena sema unataka kufunga kabisa biashara Hali ni mbaya.wakukadirie Kodi ndogo.Ni mtu mmoja. Nikienda sijui naeleza nini...tena nisimkute yule jamaa tena this time,anaongea sana na hasikilizi kabisa
Acha ufala wewe.ukienda sema biashara mbaya .kuna siku huuzi kabisa.sema mashine unatumia hata Kama umeuza pipi.tena sema unataka kufunga kabisa biashara Hali ni mbaya.wakukadirie Kodi ndogo.Ni mtu mmoja. Nikienda sijui naeleza nini...tena nisimkute yule jamaa tena this time,anaongea sana na hasikilizi kabisa
We hamaa unisamehe kwa haya nitakayo kuambia. Wewe ni aina flani hivi ya watu, wajuajijuaji, wanaongea sanaa, unampiga mtu ki saikolojia halafu unamwambia dawa ninayo ili akupe pesa. Kuna watu wanaishi hivyo na inawezekana na wewe ni mmoja wao, hii kitu siipendi kabisa. Tunajua kuwa na taarifa sahihi ni mtaji ila usiutumie kumtisha mtu.Ok ni sole, una biashara kubwa nadhani mpaka una EFD
Je wakitaka waone mauzo unayo rekodi manual utawapa nini ? Najua unayo sasa hapo tyr Kuna utofauti wa sales in your books and sales ya zreport ambayo zote ni annual
Na tofaut ni kubwa mno kama ulivyo sema hukuwa unatoa risiti!
kingine wanaweza taka kuona manunuzi yako yapoje kwa mwaka husika, ikiambatana na ukaguzi kwenye store kama ipo !
Unahitaji mtu wa tax nkuunganishe naye anaweza kukupa ushauri wa kikodi !
Upo sahihi kabisa, lakini mm mwenyewe nimeona watu wanaosumbuliwa na issue kama za huyu lakini mimi sihitaji hata hamsini yake ndo maana sikuweka namba ama mawasiliano mkuu! Ila ni kwenye kumsaidia tuu..... Nipo humbledWe hamaa unisamehe kwa haya nitakayo kuambia. Wewe ni aina flani hivi ya watu, wajuajijuaji, wanaongea sanaa, unampiga mtu ki saikolojia halafu unamwambia dawa ninayo ili akupe pesa. Kuna watu wanaishi hivyo na inawezekana na wewe ni mmoja wao, hii kitu siipendi kabisa. Tunajua kuwa na taarifa sahihi ni mtaji ila usiutumie kumtisha mtu.