mxrereco
JF-Expert Member
- Feb 21, 2014
- 1,906
- 3,986
Kama upo hivyo basi big up mkuu. Sipendi watu wenye kitumia vifulsa vya kifalafala kama hiviUpo sahihi kabisa, lakini mm mwenyewe nimeona watu wanaosumbuliwa na issue kama za huyu lakini mimi sihitaji hata hamsini yake ndo maana sikuweka namba ama mawasiliano mkuu! Ila ni kwenye kumsaidia tuu..... Nipo humbled
Tunatofautiana kwenye namna ya kuelewa vitu mkuu 👊