Approach ambayo inaonekana kufaulu katika suala hilo ni ile ya Raisi Durtete wa Ufilipino. Yeye anasema, "Tunawaua kwanza ndio uchunguzi baadaye." Kwa kipindi cha mwaka mmoja ameuwa zaidi ya 5000. Aliwaambia Polisi wake kuwa mkishajua kuwa mtu huyu ni muuza unga, piga shaba kwanza, mahakamani baadaye. Miezi iliyopita, Obama alipojaribu kupiga kelele juu ya mauwaji haya, Durtete alimtukana kwa kumwita Mwana wa Malaya aliyezaliwa na malaya Mmarekani aliyefanya umalaya na Mkenya! Obama Kimya. Hata wiki hii kwenye vyombo vya habari aliandikwa akiendelelea na Kampeni yake ya kusafisha wauza unga kwa kuwapiga risasi. Serious!!
Bila hivyo, vita hii hakuna kushinda. Duniani inafanywa na Maraisi na familia zao, Wakuu wa Majeshi, Wakuu wa Polisi, Wakuu wa Usalama, na watu hao ni matajiri kupindukia. Katika nchi za Amerika ya Kati na Kusini watu hawa wana vikundi vyao vya majeshi ya msituni kwa ajili ya kuwalinda. Kazi kwelikweli! Hata hapa nchini huwezi kufanya biashara hii kama huna ulinzi binafsi wa kutosha.