Kuna siasa ndani yake tukio la wasanii kuhusishwa na matumizi ya dawa za kulevya

Kuna siasa ndani yake tukio la wasanii kuhusishwa na matumizi ya dawa za kulevya

Mtoa mada unaona mbali sana! Vita ndio imekufa kifo cha mende!
hicho kitu nilikijua tangu siku ya kwanza walivyoanza operation yao uchwara
Nilijua kabisa walikuwa wanataka upepo wa matokeo mabovu upite na kweli umepita na vita yao feki kuhusu matumizi ya dawa za kulevya inaenda kuisha

Hii ndio TZ bhana ,maneno mengi utekelezaji sifuri
 
Kwa hiyo unaona sawa biashara ikendelea?!

Wanafunzi wa form 4 kufail Dar es salaam mwaka huu na madawa ya kulevya kipi kinachotia aibu zaidi hapa mjini?!
ELIMU ELIMU ELIMU
 
Back
Top Bottom