Kuna Siku CCM watalia na kusaga meno

Kuna Siku CCM watalia na kusaga meno

Ingieni barabarani makamanda mkichafue [emoji1787]
Nasikia Maria kaendesha mkutano wa watu elfu 6 huko Twitter [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hawa jamaa vichwani empty kabisa
 
Huyo mjaluo Maria alinishaniblock Twitter.

Siku hizi ni msukule wa makengeza Mbowe akiwa nyuma ya keyboard.

Sasa kama kaendesha mkutano wa watu elfu 6 watu BUKU tu wa kukinukisha barabarani wamekosekana.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mjinga yule!

Alafu mibavicha inajisifu wakati Diamond tu akiitisha space yake sasa hivi itahudhuriwa na watu nusu milioni
 
Kuna siku inakuja naam naiona inakaribia! Tambo za CCM zitatupwa chini na hawataamini kitakachowapata. Siku inakuja Polisiccm wote watashangaa wasiamini anguko lao.

Ni suala la muda tu, CCM your days are numbered. Take it from me nawaambia! Kila kitu kitawakataa....
Sijawahi kusema neno na lisitimie.

Nikiwa hai au mfu mtayakumbuka haya maneno. Ringieni Polisi na Usalama kwa Mara ya mwisho mwisho. Nasema ringeni na Polisi kwa Mara ya mwisho mwisho.

I am done
Giza likizidi ujue kunakucha
 
Huyo mjaluo Maria alinishaniblock Twitter.

Siku hizi ni msukule wa makengeza Mbowe akiwa nyuma ya keyboard.

Sasa kama kaendesha mkutano wa watu elfu 6 watu BUKU tu wa kukinukisha barabarani wamekosekana.
Hivi wewe jamaa mbona mjinga sana.huwezi kujibu hoja kistaarabu hadi uzungumzie ulemavu wa mtu?.Usijifanye umekamilika sana hadi ukejeli maumbile ya mtu,jinga wewe.Inaonekana umetiwa sana vidole vya kinyeo ndo maana unawashwa na mbowe.Kama kinyeo kinakuwasha njoo ata mimi nikukune sio lazima mbowe.
 
🤣🤣🤣 makengeza mbowe ameshapewa cha asubuhi na Sabaya. Kumbe makengeza mbowe ni mlemavu, sikujua
 
CCM wanafikiri kutisha watu ndiyo dawa!! Moto ni ule ule - katiba mpya is not an option mtake msitake.
 
Nasikia Maria kaendesha mkutano wa watu elfu 6 huko Twitter [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hawa jamaa vichwani empty kabisa
Yeah ni kweli kabisa ni empty Hasa wale waliosema msiba wa Mwendazake ulitizamwa na watu billion 100
 
CCM ni chama cha Mapaka
AABSll.jpg
 
🤣🤣🤣 makengeza mbowe ameshapewa cha asubuhi na Sabaya. Kumbe makengeza mbowe ni mlemavu, sikujua
Haya matusi tunayahidhi for future use! Tukana tu, tutakapoweka Ushoga wa Mashoga wenu wa CCM akina Shaka nadhani mtafurahi
 
Hivi wewe jamaa mbona mjinga sana.huwezi kujibu hoja kistaarabu hadi uzungumzie ulemavu wa mtu?.Usijifanye umekamilika sana hadi ukejeli maumbile ya mtu,jinga wewe.Inaonekana umetiwa sana vidole vya kinyeo ndo maana unawashwa na mbowe.Kama kinyeo kinakuwasha njoo ata mimi nikukune sio lazima mbowe.
Tulia tu Mpwa, muda wao utafika! Usiwe na shida! Tutawakumbusha fiercely.
 
Ona mwendawazimu huyu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mjinga yule!

Alafu mibavicha inajisifu wakati Diamond tu akiitisha space yake sasa hivi itahudhuriwa na watu nusu milioni
Nd
 
Tatizo makamanda ni waoga sana, Mkiti anakamatwa bila hata kufuata utaratibu kama kibaka nyie mnaishia kuandika jf, mmeshindwa hata kukusanya watu elfu 10 tu kuingia mtaani kumdai Mkiti? Hao waTZ wanaowaunga mkono wako wapi?
We ccm?.
 
Tunafungua kesi mahakamani mkuu leo,.

Mama kauvagaa mkenge.
Ni sawa, ni haki yenu, ila hamna nchi ambayo chama tawala kinaongoza kwa matakwa na mashinikizo ya chama cha upinzani, hilo linaweza tokea iwapo tu mna wabunge wa kutosha kuzuia miswada isipite bungeni. Samia anaongoza kwa kufuata ilani na matakwa ya chama chake kilichomfanya awe hapo alipo, hilo ni ngumu kumeza ila ndiyo ukweli. You cant separate her from CCM. Zaidi ya hapo kila siku mtasuguana na vyombo vya dola, subirini muda wenu ukifika wa kuongoza then mtaimplement mnayoyataka
 
Kuna siku inakuja naam naiona inakaribia! Tambo za CCM zitatupwa chini na hawataamini kitakachowapata. Siku inakuja Polisiccm wote watashangaa wasiamini anguko lao.

Ni suala la muda tu, CCM your days are numbered. Take it from me nawaambia! Kila kitu kitawakataa. Sijawahi kusema neno na lisitimie.

Nikiwa hai au mfu mtayakumbuka haya maneno. Ringieni Polisi na Usalama kwa Mara ya mwisho mwisho. Nasema ringeni na Polisi kwa Mara ya mwisho mwisho.

I am done
Ni maombi ya muda mrefu bila shaka yatafanana na yale ya Wapelestina kwa Waizrael.
 
Ni sawa, ni haki yenu, ila hamna nchi ambayo chama tawala kinaongoza kwa matakwa na mashinikizo ya chama cha upinzani, hilo linaweza tokea iwapo tu mna wabunge wa kutosha kuzuia miswada isipite bungeni. Samia anaongoza kwa kufuata ilani na matakwa ya chama chake kilichomfanya awe hapo alipo, hilo ni ngumu kumeza ila ndiyo ukweli. You cant separate her from CCM. Zaidi ya hapo kila siku mtasuguana na vyombo vya dola, subirini muda wenu ukifika wa kuongoza then mtaimplement mnayoyataka
Mda Wetu Wa kuongoza utafikaje ,kwani kuna kupokezana kijiti?,.

Haki haiombwi mkuu,haki hupiganiwa.
 
Back
Top Bottom