Kuna siku huwa zinaflow vizuri hadi unapenda mwenyewe

Kuna siku huwa zinaflow vizuri hadi unapenda mwenyewe

Surya

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2015
Posts
8,774
Reaction score
13,566
Yani kuna ile siku hukua na kazi nyingi, mfukoni pako vizuri, jioni bia mbili hivi uhakika..

by saa moja umeisha ingia bafuni, unaweka mwili safi, then unatupia unyama flani hivi ambao huwa unauaminia sana..
unawakaaaa yani.
simu ina bando hadi la hakiba..

Unamaliza kula msosi mzuri by saa 2 then unashika simu ndipo inaingia massage ya bebi... "where you mr ?🔥 🔥 " 😃😍

Just a good dey ma nigga 🕺🤠🤒
 
Like umeiona hii Ijumaa yangu ya leo,yani hapa ni rahaaaaaaaaa halafu hata sijatumia nguvu imejipeleka yenyewe saaaaafi.
 
Yani kuna ile siku hukua na kazi nyingi, mfukoni pako vizuri, jioni bia mbili hivi uhakika..

by saa moja umeisha ingia bafuni, unaweka mwili safi, then unatupia unyama flani hivi ambao huwa unauaminia sana..
unawakaaaa yani.
simu ina bado hadi la hakiba..

Unamaliza kula msosi mzuri by saa 2 then unashika simu ndipo inaingia massage ya bebi... "where you mr ?[emoji91] [emoji91] " [emoji2][emoji7]

Just a good dey ma nigga [emoji1739][emoji1783][emoji855]
life is good....thanks for the thread my brother.

nime attach ka-video hapa chini ku support ulichoandoka, ila sura nimeificha kwa mosaic filter.
 
[emoji444][emoji445] Sii kuu nzuuri inavyokweendaa
Wee mwenyeewe utaipendaa..[emoji444][emoji445]

[emoji444][emoji445]..ku nzuuri inavyokwenda
Wee mwenyeewe utaipendaa..[emoji444][emoji445]
 
Kweli, for others don't have love sells
Upendo ni kitu unatoa bure tu madam 🙂

my bio 👇😃
Screenshot_20220730-213139_Twitter.jpg
 
Back
Top Bottom