Kuna siku huwa zinaflow vizuri hadi unapenda mwenyewe

Kuna siku huwa zinaflow vizuri hadi unapenda mwenyewe

Yani kuna ile siku hukua na kazi nyingi, mfukoni pako vizuri, jioni bia mbili hivi uhakika..

by saa moja umeisha ingia bafuni, unaweka mwili safi, then unatupia unyama flani hivi ambao huwa unauaminia sana..
unawakaaaa yani.
simu ina bando hadi la hakiba..

Unamaliza kula msosi mzuri by saa 2 then unashika simu ndipo inaingia massage ya bebi... "where you mr ?🔥 🔥 " 😃😍

Just a good dey ma nigga 🕺🤠🤒
Mtaachana tu
 
Today is another day 😃🤩
 
Back
Top Bottom