Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
DAN WA MISIMAMO, DAN WA MIFANO[emoji444][emoji445] Sii kuu nzuuri inavyokweendaa
Wee mwenyeewe utaipendaa..[emoji444][emoji445]
[emoji444][emoji445]..ku nzuuri inavyokwenda
Wee mwenyeewe utaipendaa..[emoji444][emoji445]
Mtaachana tuYani kuna ile siku hukua na kazi nyingi, mfukoni pako vizuri, jioni bia mbili hivi uhakika..
by saa moja umeisha ingia bafuni, unaweka mwili safi, then unatupia unyama flani hivi ambao huwa unauaminia sana..
unawakaaaa yani.
simu ina bando hadi la hakiba..
Unamaliza kula msosi mzuri by saa 2 then unashika simu ndipo inaingia massage ya bebi... "where you mr ?π₯ π₯ " ππ
Just a good dey ma nigga πΊπ€ π€
Vipi mmeshaachana tayari ? Poleaaah sijui hata niseme nin π
Pole siku hazifanani mkuu, tomorrow will be a better one.πNop
but leo nina siku mbaya