Kuna siku karma itaongea kwa chuki na fitina anazofanyiwa kijana huyu!

Hata Diamond huwa zinapungua na kupanda , ila huwez sikia amelalamika , Kwa sababu anajua ni maswala ya kawaida , tatizo hao wengine wanaaamin Wana uwezo Sawa au kumzidi diamond , hutaman wafikie kile anachokifikia , wakiona changes Kwa ushamba wanaaamin jamaa anawafan,yia hujuma .....hawaamin kama jamaa nusu ya views zake sio wabongo, wanaaamin kuna mbinu fulan huwa anafanya kuboost view, hvyo anauwezo wa kucheza na YouTube atakavyo ..... Jamaa anazunguka huku na kule kutangaza jina wao wamekalisha makalio hapo buza .......ndo hvo ukitaka ufanikiwe kwenye mziki sa hv boost ni kumuongelea diamond Kwa vyovyote vile
 
Bro mfano haupo real kwanza kufananisha bank deposits na YouTube views bt pili nahisi kabisa kwa 85% Kiba anaweka ngoma kwenye akaunti ya KINGS baada ya tatizo la views kusumbua sana kwenye akaunti yake yeye mwenyewe, ukisema zinaganda baada ya kufika laki 5 kwa sababu ya subscribers wake nakataa kwa sababu tayar Kiba ana nyimbo ambazo zilishagonga views 10+ milion hao YouTube hawakujiridhisha tangu kipindi hicho kwamba huyu jamaa ana watazamaji wa kutosha?,Mwana ina views mil 20 karibu bt tatizo limekuja kwa nyimbo zilizokuja mbele ya Mwana,why lisingeanza kipindi cha Mwana maana ndo alirudi kwenye game na hakuwa na followers wa kutosha kwenye akaunti zake...SO BY MY SIDE THE EXAMPLE ISNT RELEVANT.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kurasa ndeeeeeefu afu kaandika UPUPU.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahahahaaaaaaaaaaaaaa.....kaka agiza kinywaji chochote nalipa tena agiza KRETI NZIMA...umeuaaaaa,hujaacha kituuuuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahahahaaaaaaaaaaaaaa.....kaka agiza kinywaji chochote nalipa tena agiza KRETI NZIMA...umeuaaaaa,hujaacha kituuuuu

Sent using Jamii Forums mobile app

Eti wanashangaa...Kiba anapendwa!! Wanasahau kila musician ana washabiki.Kiba atakuwepo sana tu

Waache wapige kelele, wa sample music na ku edit, wakusanye watu wengi na watengeneze hela ruksa

Ila wasisahau King he has been there and will always be there na ana wapenzi wake wasiohamishika

Idea ya wcb kudondosha music kila mwanamuziki anapoweka pale, itawaumiza wao.... Kadiri siku zimavyoenda mbele SIFA KUWA WANA ROHO MBAYA inaenea
 
We mtoa huzi ficha ujinga ni mtanzania gani anaweza kukuibia au kukugandishia views zako you tube ??

Nyie mateam diamond na kiba wengi hamnitambui.

You tube wenyewe ndo wanafanya hivo na hio ni namna ya kufanya validation ya views.
You tube wana algorithm ambayo kazi yake ni kufanya validation ya views zote ikikuta fake views inazifuta zote.

Ujue kunawatu wanatumia bots kujiongezea views YouTube "crawlers" wakigundua wanazifuta.


Pili sometime views zina freeze kipindi cha validation au zinaoneka kama zimepungua Ila validation ikiisha zinarudi views zote ambazo mliona zinapotea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
anh
ahsante kiongozi, umeniongezea kitu!!
 
historia nzuri kbs!
hiyo para ya mwisho mkuuu, dah!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Upumbavu na ujinga ni vipaji na wewe mleta mada una hiki kipaji.
 
Mzee hapo repeating views nyingi mno ndomana baada ya miezi hio video itaishia labda 13 to 16m

Angalia video za diamond zina hit 60m to 70 huko nyingine

Sent using Jamii Forums mobile app
Kiba ngoma zake nyingi zinaishia 10m ngoma ambayo ilikuwa best na ilifanya vizuri sana Africa ni Aje ambayo Ina viewers 12m.
 
Mzee kuna watu wanatumia bots kuongeza views yani zinafungua video na kufunga Mara nyingi sana.

Wanacho Fanya YouTube ni auditing and validation wanakagua kila view kwa kutumia an automated algorithm ikikuta view fake inaifyeka wakati tukio hili linaendelea unaweza ona views zinashuka au kuganda

But views zilizokuwa validated zitarudishwa na idadi kamili kuonekana ,wakikuta fake watazikata zote zilizo fake na kubakisha sahihi

Ujue you tube wanalipa lazima walinde hela yao mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi watanzania tupoje hivi youtube ile mtu eti unaenda chezea views za mtu kizembe tu..mda mwingine tuache mambo ya hovyo kwa nnavo elewa pale kuna ulinzi wa kutosha na watu wanaoioperate ni vichwa hasa sasa leo hii mtu aende akashushe views kwa kweli si kazi ndogo
 
Kiba ngoma zake nyingi zinaishia 10m ngoma ambayo ilikuwa best na ilifanya vizuri sana Africa ni Aje ambayo Ina viewers 12m.
Yaa ndo ninachozungumzia mzee inaonekana mashabiki wake wanakamia ghafla video ikitoka kwasababu ya uchache wao wanachoka wanaishiwa nguvu inakomea hapo.

Nadhani kiba atafute marketing strategy nzuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…