johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kuna wale ambao waligoma kukata rufaa maana waliona hicho kiti hakikua halali, hao kuna siku watapasua jipu, soon or later ni swala la muda tuTunakumbushana tu kama kuna kitu kinafanywa siri kati ya wabunge 19 wasiojulikana chama chao, basi siri hiyo iko karibu kutoka.
Ikumbukwe kati ya wabunge hao 19 siyo wote wamekata rufaa Baraza kuu la Chadema.
Unajua ni kwanini?
Viongozi wa CCM wengi siyo wajanja, siasa za Chadema ni za kimjini sana kuna mtu ataachiwa manyoya siku si nyingi.
Kazi Iendelee!
Masikia jobu ana asilimia kadhaa kwenye posho zao (hii ni maelewano nao kuwa atawalinda)Tunakumbushana tu kama kuna kitu kinafanywa siri kati ya wabunge 19 wasiojulikana chama chao, basi siri hiyo iko karibu kutoka.
Ikumbukwe kati ya wabunge hao 19 siyo wote wamekata rufaa Baraza kuu la Chadema.
Unajua ni kwanini?
Viongozi wa CCM wengi siyo wajanja, siasa za Chadema ni za kimjini sana kuna mtu ataachiwa manyoya siku si nyingi.
Kazi Iendelee!
Hela za uchaguzi zinatoka wapi nchi ilishapigwa cha kati na mwendazakeHivi haiwezekani bunge hili likavunjwa tukarudi kwenye bakuli?
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
wanawake wanatetewa kinafki tu nafs zao zinawahukumu
Mfanololote laweza kutokea
Mtu akiona ugali unamwagwa nae anamwaga mboga
EWAAA HAPO SAWAMtu akiona ugali unamwagwa nae anamwaga mboga