Trainee
JF-Expert Member
- Sep 22, 2018
- 3,118
- 4,238
Kuna jamaa humu aliwahi kutuokota sana kipindi cha nyuma kabla matumizi ya AI hayajaingia wala Google translate hatuifahamu kipindi hicho. Jina nimemsahau lakini avatar yake nakumbuka ilikuwa ni alama ya barabarani ya watu wanafanya ngono. Basi jamaa aliandika kuwa yeye ni mjuzi wa mambo kedekede ya ghaibu ikiwemo utaalamu wa lugha mbalimbali kubwa za dunia
Sasa kwa sasahivi watu hawa ili tuwaamini kwenye hizo lugha labda walete lugha za makabila tu
Sasa kwa sasahivi watu hawa ili tuwaamini kwenye hizo lugha labda walete lugha za makabila tu