The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 8,082
- 17,838
Hahaa acha chai mkuuMzuqa!
Nilisimuliwa kipindi flani cha nyuma na jamaa yangu flani mbongo flani kwa kujipendekeza na kiherehere akavamia msiba wa wazungu eti kwenda kufariji na ni yeye tu pekee yake nigger.
Wakamfuata alipokaa na kumuuliza unafanya nini hapa? Umealikwa? Ebu ondoka haraka hapa. Nilicheka balaa
Mzuqa!

Wakati huo na wewe ulikuwa msibani au ulikuwa unajipitia njiaMzuqa!
Nilisimuliwa kipindi flani cha nyuma na jamaa yangu flani mbongo flani kwa kujipendekeza na kiherehere akavamia msiba wa wazungu eti kwenda kufariji na ni yeye tu pekee yake nigger.
Wakamfuata alipokaa na kumuuliza unafanya nini hapa? Umealikwa? Ebu ondoka haraka hapa. Nilicheka balaa
Mkuu wapi huko?Mimi ilinikuta Kipindi cha nyuma sina makaratasi nikapelekwa kijijini Ndio yakawa maisha yangu baaada ya kukaa muda mrefu bila makaratasi jumapili moja ikabidi niende kanisani ,kanisa lote walijaa wazungu mtu mweusi ni Mimi peke yangu nilitolewa macho kwa aibu ikabidi niondoke mwenyewe
Ilikuwa sweden kijiji flaniJamaa aliyenisimulia nililetaga thread yake flan humu jamvini. Ni braza meni flani. Mara ya kwanza nilidhani atakuwa mpinzani tu nikaanza kumponda Jiwe. Wee jamaa alimishukia kichizi sikudhani ni supporter wa Jiwe na an
Mkuu wapi huko?