The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 8,082
- 17,838
Mzuqa!
Nilisimuliwa kipindi flani cha nyuma na jamaa yangu flani mbongo flani kwa kujipendekeza na kiherehere akavamia msiba wa wazungu eti kwenda kufariji na ni yeye tu pekee yake nigger.
Wakamfuata alipokaa na kumuuliza unafanya nini hapa? Umealikwa? Ebu ondoka haraka hapa. Nilicheka balaa