Kuna siku nilicheka balaa mbongo alivofukuzwa msibani ulaya

The Mongolian Savage

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2018
Posts
8,082
Reaction score
17,838
Mzuqa!

Nilisimuliwa kipindi flani cha nyuma na jamaa yangu flani mbongo flani kwa kujipendekeza na kiherehere akavamia msiba wa wazungu eti kwenda kufariji na ni yeye tu pekee yake nigger.

Wakamfuata alipokaa na kumuuliza unafanya nini hapa? Umealikwa? Ebu ondoka haraka hapa. Nilicheka balaa
 
Hahaa acha chai mkuu
 
Hii ni full mzuqa![emoji2][emoji2]

Wakati huo na wewe ulikuwa msibani au ulikuwa unajipitia njia
 
Mimi ilinikuta Kipindi cha nyuma sina makaratasi nikapelekwa kijijini Ndio yakawa maisha yangu baaada ya kukaa muda mrefu bila makaratasi jumapili moja ikabidi niende kanisani ,kanisa lote walijaa wazungu mtu mweusi ni Mimi peke yangu nilitolewa macho kwa aibu ikabidi niondoke mwenyewe
 
Jamaa aliyenisimulia nililetaga thread yake flan humu jamvini. Ni braza meni flani. Mara ya kwanza nilidhani atakuwa mpinzani tu nikaanza kumponda Jiwe. Wee jamaa alimishukia kichizi sikudhani ni supporter wa Jiwe na an

Mkuu wapi huko?
 
Ilikuwa sweden kijiji flani
 
Hata hukupaswa kucheka, sion sababu ya kwann ulicheka.
 
Back
Top Bottom