Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
- Thread starter
-
- #21
kwahiyo sababu kufa kwa ujinga ni kawaida, tuendelee kufa hivyo?Nakwambia hivi si ajabu hilo maana watu hawajaanza kufa leo kwa ujinga, huko hospitali kuna watu wamelazwa kwa maradhi ambayo sababu ni ujinga tu. Tunasumbuliwa na maradhi mengi sana na husababisha vifo vingi ila yote hayo sababu ni ujinga tu, kama tungejielewa hayo maradhi tusingapata na tungeepusha vifo.
Sasa mimi nakushangaa wewe unaona ujinga kwenye corona tu!
Asichokijua yeye ni kuwa inawezekana ukachanjwa chanjo hata 10 na kila moja inafanya kazi kivyake, kama ilivyo kwa sasa,ndani ya miili yetu kuna chanjo ya ndui, mabusha, pepo punda, hepatitis, corona n.k, lakini kila moja inafanya kazi kivyake.Variants ni nyingi. Ikitokea variants ambayo haisikii hii chanjo ya J&J ntaenda tena kuchanja. Na ntaendelea kujikinga na Corona sababu kuna variants zingine na chanjo siyo 100%
wanaujinga, ila kadri vifo vitavyoendelea watapata akili. jinsi mbinyo wa kuingia viwanjani unavyoendelea watapata akili.Sasa kwanini watu wasitake chanjo sasa hivi ili kuepuka hivyo vifo? kwanini unaona baadaye ndio watakimbilia hizo chanjo?
Swali hilo nikuulize wewe ambaye sijaona kupigia kelele vifo vya ujinga vya maradhi mengine ila unakuja kupiga kelele katika vifo vya corona tu? Ina maana hivyo vifo vyengine vya kijinga umeona ni sawa tu ila kasoro corona?kwahiyo sababu kufa kwa ujinga ni kawaida, tuendelee kufa hivyo?
wewe unaweza kusaidia kupigia kelele vifo vingine vinavyosababishwa na ujinga.Swali hilo nikuulize wewe ambaye sijaona kupigia kelele vifo vya ujinga vya maradhi mengine ila unakuja kupiga kelele katika vifo vya corona tu? Ina maana hivyo vifo vyengine vya kijinga umeona ni sawa tu ila kasoro corona?
Si akili labda uoga ambao utatokana na kutishwa, hata sasa Bongo serikali ingetaka kuwatisha watu basi ingeweza na pengine idadi ya watu kuchanjwa ingeongezeka.wanaujinga, ila kadri vifo vitavyoendelea watapata akili. jinsi mbinyo wa kuingia viwanjani unavyoendelea watapata akili.
Ni hatari sana. Zamani nilifikiri peer pressure (shinikizo rika) lipo kwa teenegers tu, hata kwa watu wazima kumbe. Watu wazima wanafuatana, hawana sababu za msingi ila wanafuata wenzao. Wenzao wakisema chanjo haifai nao wanafuata, hawajui kwanini haifai. Pole sana kwa msiba.Kuna jamaa yangu alikuwa mbishi Sana akawa anasema Corona haipo ni siasa tu so sad tumemzika mwezi uliopita kwasababu ya COVID-19 alikuwa mtu mwema na muhimu Sana kwangu [emoji24][emoji24][emoji24]
Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
Kama corona isingepewa kiki basi pengine hata wewe usingepoteza muda wako humu kuzungumzia.wewe unaweza kusaidia kupigia kelele vifo vingine vinavyosababishwa na ujinga.
Korona inaweza usiuue kama Malaria na UKIMWI, lakini Ogopa sana airborne diseases. hizi ni tofauti na malaria na ukimwi. Plague ya miaka ya 1300(black death) na Spanish Influenza zote ni Airborne. Ziliuwa kwa kutisha. mwanzoni hii black death ilikuwa inaambukizwa kwa kung'atwa na viroboto wa 'panya' ambao walikuwa wanakudunga bakteria Yersinia Pestis.Si akili labda uoga ambao utatokana na kutishwa, hata sasa Bongo serikali ingetaka kuwatisha watu basi ingeweza na pengine idadi ya watu kuchanjwa ingeongezeka.
Kwahiyo issue sio kupata akili, ingekuwa kupata akili basi tungeshapata akili kwa haya maradhi mengi yanayosumbua sasa hivi tungeyaepuka ambayo yana sababisha vifo mpaka sasa kuliko hata corona.
Mnajua kujifariji. Kufa kupo palepale, acha dhambi mche Mungu ndio pona yako.Hongera kwa ku chanja, hutokufa mkuu
Sipotezi mudaKama corona isingepewa kiki basi pengine hata wewe usingepoteza muda wako humu kuzungumzia.
Mbona hata huko hospitali tunafuata tu kila tunachoambiwa na daktari huku tukiamini yeye anajua kila kitu kwa sababu kasoma ni daktari, lakini uhalisia haupo hivyo.Ni hatari sana. Zamani nilifikiri peer pressure(shinikizo rika) lipo kwa teenegers tu, hata kwa watu wazima kumbe. Watu wazima wanafuatana, hawana sababu za msingi ila wanafuata wenzao. Wenzao wakisema chanjo haifai nao wanafuata, hawajui kwanini haifai!! pole sana kwa msiba.