#COVID19 Kuna siku Watanzania watapanga foleni za kilomita kadhaa ili kuchanja

Sababu tumegeuka wafuasi wq Kibwetere kumfuata Gwajima na tumeshikiwa akili na Magufuli aliyetuambia chanjo haifai.
Acha kumuhusisha magufuli na akili yako ya kushikiwa ,mbuzi maji wewe....
 
Wewe unaakili kuliko mamilioni ya wamarekani, waingereza, wajerumani, etc waliochanja?
Wewe unaakili kuliko mamilioni ya hukohuko wanaopinga chanjo?Hivi huwa unafuatilia mambo au unapenda kusikia tu yanayokufurahisha?Unajua hadi sasa ni 300k ya watanzania ndio wamechanjwa kati ya 60M?Huoni mamilioni ya watanzania wamegoma?
 
Kwa hali ninavyoiona ya hii Korona kuondoka na watu, kuna siku watanzania watapanga foleni za kilomita kadhaa ili wapate chanjo.

Nilienda kupata chanjo siku ya jumanne. Nilikuwa niko peke yangu na mtoa chanjo. Tulizungumza mambo kirefu sana. Nilikaa pale kama nusu saa hivi. Mbaya zaidi wafanyakazi wa afya wengi sana nao wanakwepa kuchanja. Jamaa fulani alinipa uchambuzi kuwa wafanyakazi wengi wa afya kinachowafanya wasichanje ni uoga wa sindano!!

Kingine nilichokiona, unapewa cheti cha mkononi na kingine unaweza download. Inaonekana kama umedhamiria kutochanja ila unataka upate cheti, unaweza 'ukachonga' na mtoa chanjo ukapata cheti.

Mbaya zaidi serikali nayo imechukulia mzaha hili suala. Gwajima, Dr anaenda kumpa Steve Nyerere ubalozi wa chanjo. Ataelimisha nini watu juu ya chanjo?

Siku inakuja watu watapanga foleni za kilomita kadhaa ili kupata chanjo
Mtasubiri sana,maana vifo vinavyoendelea kutokea kwa watu wenye uwezo wa kuchanja ukilinganisha na wazee
masikini hoe hae wasio na uwezo,vinaacha sintofahamu nyingi badala ya majibu.
Hivyo tuendelee kuiheshimu kauli mbiu ya serikali kwamba kuchanja ni hiari. ukijisikia kuchanjwa kachanje na ukijisikia kusubiri ,subiri
kikubwa tuendelee kumwomba Mungu,kunawa mikono kwa maji tiririka na kuvaa barakoa inapobidi.
 
Wewe unaakili kuliko mamilioni ya hukohuko wanaopinga chanjo?Hivi huwa unafuatilia mambo au unapenda kusikia tu yanayokufurahisha?Unajua hadi sasa ni 300k ya watanzania ndio wamechanjwa kati ya 60M?Huoni mamilioni ya watanzania wamegoma?
Marekani wamechanja zaidi ya 6

Duniani kote asilimia 41 ya watu wamechanjwa. Kwa siku watu milioni 30 wanachanjwa. Wewe unaakili kuliko wote hao. Asilimia 89 ya wakazi wa UAE ni wajinga ila weww unaakili.

Screenshot_20210912-150515.png
 
Marekani wamechanja zaidi ya 6
Duniani kote asilimia 41 ya watu wamechanjwa. Kwa siku watu milioni 30 wanachanjwa. Wewe unaakili kuliko wote hao. Asilimia 89 ya wakazi wa UAE ni wajinga ila weww unaakili.

View attachment 1934790
Achana na hizi Propaganda. Search huko you tube uone wanaopinga chanjo huko Ulaya. Lkn pia njoo Tz hapa uone wanaopinga chanjo.
 
Mtasubiri sana,maana vifo vinavyoendelea kutokea kwa watu wenye uwezo wa kuchanja ukilinganisha na wazee
masikini hoe hae wasio na uwezo,vinaacha sintofahamu nyingi badala ya majibu.
Hivyo tuendelee kuiheshimu kauli mbiu ya serikali kwamba kuchanja ni hiari. ukijisikia kuchanjwa kachanje na ukijisikia kusubiri ,subiri
kikubwa tuendelee kumwomba Mungu,kunawa mikono kwa maji tiririka na kuvaa barakoa inapobidi.
Hiari wakati mmezuiwa kuingia uwanjani.
 
Achana na hizi Propaganda. Search huko you tube uone wanaopinga chanjo huko Ulaya. Lkn pia njoo Tz hapa uone wanaopinga chanjo.
Unaangalia conspirancy theorist wa you tube!! Yaani source yako ya habari yakuaminika ni youtube!!. Na unaakili kuliko asilimia 62 ya wamarekani waliochanja.
 
Tanzania watu wanapinga chanjo sababu ya ujinga.
 
Unaangalia conspirancy theorist wa you tube!! Yaani source yako ya habari yakuaminika ni youtube!!. Na unaakili kuliko asilimia 62 ya wamarekani waliochanja.
Yaani unaona watu wanaandamana tena maelfu we unasema conspiracy theorists hahahahhah. Yaani kilichokinyume na Propaganda za Corona ni conspiracy?
 
Huko Ulaya wanapinga chanjo sababu ya nini?Unataka kusema zaidi ya watanzania 69M ni wajinga?
Kwni watz wote wanapinga chanjo? Ni wajinga tu walioamini habari za Gwajima na Magufuli. Kuwa chanjo haifai. Mara wanawekewa microchip. Mara watakuwa mazombie. Mara inawasajili. Sasa huo si ujinga tu!!
 
Hiari wakati mmezuiwa kuingia uwanjani.
mechi hii ni ya kimataifa,ni sawa na kusema unataka kwenda nchi za watu bila kufuata masharti ya nchi zao.
ndo maana wachezaji wamechanjwa ili kukidhi vigezo vya kushiriki hayo mashindano.
 
Point yako?
 
Back
Top Bottom