Kuna siku Yanga itatufunga goli 7

Mbiti Fisi

Member
Joined
Aug 21, 2024
Posts
10
Reaction score
8
Ndugu zangu, wana-msimbazi wenzangu kwanza tujipe pole kwa kupoteza derby ya nne mfululizo.

Ila tukubaliane kwamba timu yetu ni takataka na ya hovyo sana mbele ya ma-giant Yanga Africa, sisi ni mbumbumbu tunaopelekeshwa.

Yanga ndio timu bora ya muda wote, takwimu zinathibitisha hilo, sisi tutabaki kama second club na kuna siku tutapigwa wiki bila majibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…