kamanda wa makamanda
JF-Expert Member
- Aug 21, 2015
- 629
- 492
wanaenda kuongea na ndugu zao ambao wako makaburini si unajua kule mpaka tumtoe mtu ndio mafanikio yanakuja kwa kasi?jamaa wachawi hakuna mfano kweny maduka yao utakuta vitoto vya kichaga vingii vile hua vipo kwa ajili ya shughuli maalum
Hoa ndio wachaga wakienda huko mbali na kula skukuu pia hufunzwa jinsi ya kujibagua mbele ya jamii nyengine wasiokuwa wachagga.
Wengine wanakwenda kusutana. "Munishi alinizulumu", "We Swai mbona hujengi kila wakati unafikia kwa mama", "Manka na Mkasafari hawaongei mwaka sasa waseme kwa nini", "Masawe ulificha baadhi ya pesa za rambirambi...."
Kuna sababu kubwa mbili: 1.) adhari za desturi za kimagharibi, wakati wa sikukuu za mwisho wa mwaka lazima waende kwao walikotoka (place of domicile) 2.) huduma za kijamii zinazopatikana uchagani hasa umeme, maji na barabara zinafanya uchagani kusiwe na tofauti kubwa na mijini. Huduma za kijamii zilikuwa nzuri tangu Enzi ya ukoloni, na zilipelekwa huko sio kama huduma kwa wachaga bali kwa masetla wa kilimo cha kahawa. Nyerere alipotaifisha mashamba ya kahawa 1972 (tena alitaifisha yote) masetla wote waliondoka Kilimanjaro na kuacha maendeleo makubwa tayari yamefanyika. Ingawa wachaga wamejitahidi kufanya maendeleo pale walipoacha masetla; angalau kujenga nyumba za kisasa zenye umeme, maji na vyoo vya ndani. Sasa sisi wamachinga inakuwaje, barabara nzuri ya mpaka Masasi ilifika Enzi ya Mkapa; maji hakuna kabisa hivyo choo cha shimo kiko meta 20 toka nyumbani. Sasa niende wakati wa chrismas nifuate nini?
Kwanini Wazungu wanapenda kusafiri kurudi kwenye familia zao kipindi cha Thanks Giving??
Wachagga wanapenda kula sikukuu za Xmas na Mwaka Mpya pamoja na ndugu na jamaa zao..
Naomba nikuambie tu, ni vyema usiangalie wachagga kwa kuwa wameweza,kwanini makabila mengine mshindwe, yani mwaka mzima hujaonana na ndugu jamaa na rafiki bado hushindwe mwisho wa mwaka kwenda,maana swala la kuenda kuwasalimu ndugu yani bibi, babu, mama, baba,rafiki na jamaa kwenye origin yenu sio la wachaga tu,ingawa wachaga wameweza kuthamini kwao kuliko makabila mengine yote.na tuwapongeze kwa hilo.
Matambiko na kupiga mbege....!
Kwa hiyo chadema ni chama cha wachagga?
Mkuu usiumizwe kichwa na wachaga,ni washirikina hatari,huwa wanaenda kwao kuomba mizimu iwabariki kwa kufanya kafara ya mbuzi,amini usiamini mwezi huu kila familia inachinja mbuzi huko uchagani kwa kafara ili kuita mizimu,hawana lolote zaidi ya uchawi.
Wewe labda sio wa kaskazini...! Wenzio wanakwenda kupiga ramli kabisa...
mbege hata dar es salaam ipo mbona
TPA na TRA pamejam..ba mtaenda kwa miguu mwaka huu huko Moshi na hayo ma Range mtayaendesha kwa maji nawaambia!!
Wengine wanakwenda kusutana. "Munishi alinizulumu", "We Swai mbona hujengi kila wakati unafikia kwa mama", "Manka na Mkasafari hawaongei mwaka sasa waseme kwa nini", "Masawe ulificha baadhi ya pesa za rambirambi...."
Wengine wanakwenda kusutana. "Munishi alinizulumu", "We Swai mbona hujengi kila wakati unafikia kwa mama", "Manka na Mkasafari hawaongei mwaka sasa waseme kwa nini", "Masawe ulificha baadhi ya pesa za rambirambi...."
Hahaaaaaa, komenti yako imenifurahisha sana!
Jaribuni nanyi huo ushirikina kwenye kabila lenu uone kama utawatoa kama unavyoamini kuwa ndivyo wachagga wanavyofanya!!