Kuna siri gani kati ya Wachaga na Mwisho wa Mwaka?

wanaenda kuongea na ndugu zao ambao wako makaburini si unajua kule mpaka tumtoe mtu ndio mafanikio yanakuja kwa kasi?jamaa wachawi hakuna mfano kweny maduka yao utakuta vitoto vya kichaga vingii vile hua vipo kwa ajili ya shughuli maalum

huna lolote mzaramo wachaga wamekuzidi mbinu na mvuto kwenye biashara zao.
 
Kuna sababu kubwa mbili: 1.) adhari za desturi za kimagharibi, wakati wa sikukuu za mwisho wa mwaka lazima waende kwao walikotoka (place of domicile) 2.) huduma za kijamii zinazopatikana uchagani hasa umeme, maji na barabara zinafanya uchagani kusiwe na tofauti kubwa na mijini. Huduma za kijamii zilikuwa nzuri tangu Enzi ya ukoloni, na zilipelekwa huko sio kama huduma kwa wachaga bali kwa masetla wa kilimo cha kahawa. Nyerere alipotaifisha mashamba ya kahawa 1972 (tena alitaifisha yote) masetla wote waliondoka Kilimanjaro na kuacha maendeleo makubwa tayari yamefanyika. Ingawa wachaga wamejitahidi kufanya maendeleo pale walipoacha masetla; angalau kujenga nyumba za kisasa zenye umeme, maji na vyoo vya ndani. Sasa sisi wamachinga inakuwaje, barabara nzuri ya mpaka Masasi ilifika Enzi ya Mkapa; maji hakuna kabisa hivyo choo cha shimo kiko meta 20 toka nyumbani. Sasa niende wakati wa chrismas nifuate nini?
 
Tunaipenda Familly ndo Maana Tunaenda Karibu Nyumbani Tusherekee Upendo na Maendeleo
 
Wengine wanakwenda kusutana. "Munishi alinizulumu", "We Swai mbona hujengi kila wakati unafikia kwa mama", "Manka na Mkasafari hawaongei mwaka sasa waseme kwa nini", "Masawe ulificha baadhi ya pesa za rambirambi...."
 
Haaa haaa haaa!
 
Kuna sababu kubwa mbili: 1.) adhari za desturi za kimagharibi, wakati wa sikukuu za mwisho wa mwaka lazima waende kwao walikotoka (place of domicile) 2.) huduma za kijamii zinazopatikana uchagani hasa umeme, maji na barabara zinafanya uchagani kusiwe na tofauti kubwa na mijini. Huduma za kijamii zilikuwa nzuri tangu Enzi ya ukoloni, na zilipelekwa huko sio kama huduma kwa wachaga bali kwa masetla wa kilimo cha kahawa. Nyerere alipotaifisha mashamba ya kahawa 1972 (tena alitaifisha yote) masetla wote waliondoka Kilimanjaro na kuacha maendeleo makubwa tayari yamefanyika. Ingawa wachaga wamejitahidi kufanya maendeleo pale walipoacha masetla; angalau kujenga nyumba za kisasa zenye umeme, maji na vyoo vya ndani. Sasa sisi wamachinga inakuwaje, barabara nzuri ya mpaka Masasi ilifika Enzi ya Mkapa; maji hakuna kabisa hivyo choo cha shimo kiko meta 20 toka nyumbani. Sasa niende wakati wa chrismas nifuate nini?

nilifikiri msimu huu wa sikukuu ndio mngeenda kujumuika na extended family zenu Kule masasi, badala yake mnaogopa kwenda eti hakuna maji na umeme, mnasikitisha sana
 
Kwanini Wazungu wanapenda kusafiri kurudi kwenye familia zao kipindi cha Thanks Giving??

Wachagga wanapenda kula sikukuu za Xmas na Mwaka Mpya pamoja na ndugu na jamaa zao..

Una Akili sana weye, kama zangu!
 
Naomba nikuambie tu, ni vyema usiangalie wachagga kwa kuwa wameweza,kwanini makabila mengine mshindwe, yani mwaka mzima hujaonana na ndugu jamaa na rafiki bado hushindwe mwisho wa mwaka kwenda,maana swala la kuenda kuwasalimu ndugu yani bibi, babu, mama, baba,rafiki na jamaa kwenye origin yenu sio la wachaga tu,ingawa wachaga wameweza kuthamini kwao kuliko makabila mengine yote.na tuwapongeze kwa hilo.

Hahaaa, wengine hawana pa kwenda maana tangu wazazi wao wakimbilie mjini enzi hizo hawajawahi rudi nyuma..., hivyo vizazi vinavyofuatia hawana pa kwenda wanaishia kusikia tu kwa wazazi wao ni wenyeji wa Matombo ilihali hata hawajawahi kufika!
 
Mkuu usiumizwe kichwa na wachaga,ni washirikina hatari,huwa wanaenda kwao kuomba mizimu iwabariki kwa kufanya kafara ya mbuzi,amini usiamini mwezi huu kila familia inachinja mbuzi huko uchagani kwa kafara ili kuita mizimu,hawana lolote zaidi ya uchawi.

Hahaaaaaa, komenti yako imenifurahisha sana!
Jaribuni nanyi huo ushirikina kwenye kabila lenu uone kama utawatoa kama unavyoamini kuwa ndivyo wachagga wanavyofanya!!
 
TPA na TRA pamejam..ba mtaenda kwa miguu mwaka huu huko Moshi na hayo ma Range mtayaendesha kwa maji nawaambia!!

Hahaaaa...., kwa taarifa yako foleni Dar imepungua.., yaani imehamia Moshi!
 
Wengine wanakwenda kusutana. "Munishi alinizulumu", "We Swai mbona hujengi kila wakati unafikia kwa mama", "Manka na Mkasafari hawaongei mwaka sasa waseme kwa nini", "Masawe ulificha baadhi ya pesa za rambirambi...."

hahahahahaa mbavu zangu, dah hiii ni zaidi ya niijuavyo JF. Hakika nimecheka sana na angalau nimepunguza msongo wa mawazo. Pata like yanguvu mkuu
 
Wengine wanakwenda kusutana. "Munishi alinizulumu", "We Swai mbona hujengi kila wakati unafikia kwa mama", "Manka na Mkasafari hawaongei mwaka sasa waseme kwa nini", "Masawe ulificha baadhi ya pesa za rambirambi...."

Aisee we ni nomaaa...
 
Hahaaaaaa, komenti yako imenifurahisha sana!
Jaribuni nanyi huo ushirikina kwenye kabila lenu uone kama utawatoa kama unavyoamini kuwa ndivyo wachagga wanavyofanya!!

teh teh teh kama ni uchawi kama wanavyosema huko Kigoma, Sumbawanga, mikoa ya kusini kungekuwa ni Ulaya.. Bila kusahau kule wanakoua Albino ili watajirike...
 
Back
Top Bottom