Kuna siri gani kati ya Wachaga na Mwisho wa Mwaka?

Kuna siri gani kati ya Wachaga na Mwisho wa Mwaka?

Mimi ninachojua asilimia kubwa hampendi kweli kukaa Kilimanjaro maana ni pabaya na hakuna issue yoyote ya maana.

Hii hype ya kurudi huko sasa hivi ni mihemko tu na ego fulani ya kutaka watu wakuone na mimi ni mchagga narudi X-mass Kilimanjaro.

Na ndio maana mko busy kufanya promotion kuwa mnarudi kwa watu ambao hata haiwahusu.

Ina maana watu wakipuuza mnajisikia vibaya.

Tena, kwa wasiojua zaidi ya 95% ya wachagga wanatamani Krismasi ipite fasta warudi sehemu wanazozipenda.

Maana kukaa huko Kilimanjaro ni adhabu tosha.
Bora umesema ukweli, maana humu huwa tunaongopewa vibaya mno,,,, kwani ukisema ukweli utaharibikiwa nini!! Asante
 
Mimi ninachojua asilimia kubwa hampendi kweli kukaa Kilimanjaro maana ni pabaya na hakuna issue yoyote ya maana.

Hii hype ya kurudi huko sasa hivi ni mihemko tu na ego fulani ya kutaka watu wakuone na mimi ni mchagga narudi X-mass Kilimanjaro.

Na ndio maana mko busy kufanya promotion kuwa mnarudi kwa watu ambao hata haiwahusu.

Ina maana watu wakipuuza mnajisikia vibaya.

Tena, kwa wasiojua zaidi ya 95% ya wachagga wanatamani Krismasi ipite fasta warudi sehemu wanazozipenda.

Maana kukaa huko Kilimanjaro ni adhabu tosha.
Sawa Klm pabaya ukilinganisha na wapi kama siyo chuki binafsi na watu wa Klm, ukizeeka ww utakuwa gagula wa hatari!
 
Kwanini WACHAGA wamekuwa na tamaduni ya kurejea nyumbani kila disemba?

Naomba majibu tafadhali,haya Mambo siyaoni kwingine
 
Tunarudi kushiriki pamoja sehemu ya kile tulichotafuta kwa mwaka mzima,pia kuona wapi tumeanguka tusahihishe,na wapi tumefanya vizuri tuongeze nguvu.
Kikubwa ni umoja na mshikamano kati yetu ndio dira waliotupa wazee wetu.
Karibu sanaa.
20220710_120758.jpg
 
Si unajua wanaenda kutambika kuchinja mbuzi Ile kimazingara. Si unajua wanavyochinjwa lakini sio kawaida. Kuna mmoja lazima kila mwezi apeleke chumvi kule Lindi liwale Kijiji Cha mpiga miti kwa Bibi likunji nilikutana naye akaniambia ametoboa.

Mengine Ni Tambo za hapa na pale Mana wale wasio na hela huwa hawarudi wanabakia na vyasaka na vishoia mikoani huko mpaka uzee wao wote wanaogopa kwenda kudharauliwa na watt wadogo kutumwa kuwa kamata kuku,nioshee benzi langu Hilo,Mara tunawishe mikono hapa tule so mzee atajistukia vibaya ndio Mana wanazamia kwa vyasaka huko wanaishi kwa raha mustarehe mpaka uzeeni mwao.
Wengine wanaoa kwetu kabisa Mana kule watabaguliwaje hawapewi wake Mana hawana Mali.

Nadhani hayo na mengine akina manka wanaagizwa kuwatoa waume zao vyasaka lakini hela na kuzipeleka Moshi. Yaani huwa Kuna misheni lazima manka aikamilishe. Si unakumbuka Kama yule wa dumila aliyeolewa na mkikuyu alimkodia majambazi wamue. Simu yake ilisikika sauti akiwaulizia majambaazi kuwa huyo gala bado hamjammaliza bado ama mnachezea hela niliyopatia.

Unakumbuka yule mdada mkikuyu wa Kenya aliyeua mholanzi na kudumbukiza kwa septic tank ndio wachaga hao wa Kenya na tamaduni wanafanana na majina pia wanashare.
 
Nitakuwaje na wifu na kwetu?
hiyo hela ya kupanda huko nimeamua kupaka nyumba rangi,
inabidi wachagga tufike mahali tubadilike, nyie vipi.
Nakushauri kaweke pale home kwako vizuri. Najua unaona aibu kwenda maana ndugu zako watakusimanga

cc Lizzy
 
tuna group yetu fb tupo watu 780 kwanza tunaenda kutoa fungu letu la kumi kwa kituo cha watoto yatima kipo pale vilage tutakesha nao tar 24 then mishemishe zingine just imagine itakavikuwa poa
Unibeep basi nikugawie kilo moja unusu ya ile keki yetu pendwa....
 
Back
Top Bottom