Kuna siri gani kati ya Wachaga na Mwisho wa Mwaka?

Kuna siri gani kati ya Wachaga na Mwisho wa Mwaka?

Hapo sawa. Na sehemu yoyote ili kuwe na mazingira mazuri ya utafutaji lazima kuwe na uwekezaji. Huko hakuna uwekezaji kwa sababu watu wanaenda mara moja kwa mwaka na hawaaliki wageni wawekeze.
Hatuitaji makabla mengne ili tuendelee tunaitaji makabla mengne walishe mifungo , mbna wapo wengi mkuu
 
Hatuitaji makabla mengne ili tuendelee tunaitaji makabla mengne walishe mifungo , mbna wapo wengi mkuu
Mna mifugo kule? Idadi ngapi ya ng'ombe kutoka moshi nyama yake huliwa mikoa isiyo na mifugo kama DSM?
 
Mifugo ili tuendeleze viwanda vyetu vya maziwa tunaviwanda vya maziwa kwenye vijiji vyetu mkuu
Sawa, ila umedanganya. Hapo moshi hakuna makabila mengine yanayowafanyia kazi, labda wa kuhesabu mmoja mmoja. Wachaga si watu wanaopenda wageni.
 
Sawa, ila umedanganya. Hapo moshi hakuna makabila mengine yanayowafanyia kazi, labda wa kuhesabu mmoja mmoja. Wachaga si watu wanaopenda wageni kwenye maeneo yao.
Tembelea vijijini ndo utanielewa mkuu mbna tunaishi na wasukuma , wairaq wa bena na nk vzur tu mpaka wanajikusanyia pesa za kutosha tuna wafundisha biashara then wanaenda kutamba na huko kwao mkuu?
 
Sikukuu za mwisho wa mwaka siyo lazima iwe mwaka mpya na X-mass.

Hizo ni sikukuu za Kikristo. Jifunze, hii dunia ni kubwa na ina watu zaidi ya billioni 7.

Kuna sehemu nyingine sasa hivi siyo mwaka 2021.
Kwan shida nn wakirudi makwao kujumuika na wapendwa wao? Wewe wanakupunguzia nn? Hata kama kwao ni kubaya kama Kilimanjaro kwa mujibu wako?
 
Kwamba bado hujapewa ruhusa [emoji848]
 
Wapo ndio ila kwa uchache,. Mama yangu ni mtu wa KLM na wachaga wengi sana ni marafiki zangu.
Wakiwa wengi wataarbu tamaduni zetu tatzo mnatulalamikia sna bila kujua sisi tulikua Ni taifa kabla ya Uhuru , tulikua tumejitosheleza kimfumo , pia tulikua na makoloni Kama Arusha ugweno, Tanga meru na hata baadhi ya sehemu za Kenya , tulijiimarisha vzur tangu mwanzo bla kutegemea wengne , Sasa madhara ya kuwa wamoja kma Tz lazma uone ka tuna ukabila , taifa ndan ya taifa
 
Labda useme wingi wa huruma. Mimi niwe na chuki kwa hali kama hii [emoji116][emoji116]
Usilete udhaifu leta ubora asilimia za ubora kuwa nyingi kuliko udhaifu ndio zimefanya makabila Kama wachaga , wahaya na wanyakyusa kuonekana wapo vizur kuliko wengne
 
Wakiwa wengi wataarbu tamaduni zetu tatzo mnatulalamikia sna bila kujua sisi tulikua Ni taifa kabla ya Uhuru , tulikua tumejitosheleza kimfumo , pia tulikua na makoloni Kama Arusha ugweno, Tanga meru na hata baadhi ya sehemu za Kenya , tulijiimarisha vzur tangu mwanzo bla kutegemea wengne , Sasa madhara ya kuwa wamoja kma Tz lazma uone ka tuna ukabila , taifa ndan ya taifa
Mlikuwa na makoloni Arusha?
 
Usilete udhaifu leta ubora asilimia za ubora kuwa nyingi kuliko udhaifu ndio zimefanya makabila Kama wachaga , wahaya na wanyakyusa kuonekana wapo vizur kuliko wengne
Wapo vizuri kuliko wengine kwenye nini ?
 
Kama ulipost udhaifu basi ubora ulio ona mpaka ukaamua utuonyeshe na udhaifu ndo huo ninao zungumzia
Mimi nimezunguza karibia nchi nzima, sijaona maajabu ya kutisha.

Ninachoona ni tamaduni ndogo ndogo zinazotofautiana. Ila hakuna maajabu yoyote
 
Mimi nimezunguza karibia nchi nzima, sijaona maajabu ya kutisha.

Ninachoona ni tamaduni ndogo ndogo zinazotofautiana. Ila hakuna maajabu yoyote
Haujaona maajabu ya kutisha nchi nzima kwasbabu ulilinganisha vijiji vya Tz na ulaya , Ila ungelinganisha vjiji vya Tz na vya uchagani ungeona unafuu wa maisha angalau kidgo
 
Haujaona maajabu ya kutisha nchi nzima kwasbabu ulilinganisha vijiji vya Tz na ulaya , Ila ungelinganisha vjiji vya Tz na vya uchagani ungeona unafuu wa maisha angalau kidgo
Uchaggani hakuna ardhi. Maeneo mengi ni mabaya sana. Yamejaa miinuko, mabonde na tope au vumbi wakati wa kiangazi.

Maeneo kama hayo baadhi ya mikoa huwa wanaishi wahamiaji tu.
 
Uchaggani hakuna ardhi. Maeneo mengi ni mabaya sana. Yamejaa miinuko, mabonde na tope au vumbi wakati wa kiangazi.

Maeneo kama hayo baadhi ya mikoa huwa wanaishi wahamiaji tu.
Uhaba wa ardhi Ni tatzo kutokana na population Ila hauwez sema sehemu kukiwa na miinuko Ni kubaya kwa hyo tuseme ugiriki kulivyo na miinuko Ni sehemu mbaya ambayo haitamaniki?
 
Kuna topic zimeanzishwa humu kuwadhihaki wachaga na kwenda kwao kwa wingi msimu huu kwa Christmas, Wengine wakidai wanenda kutambika mara Wengine wanadai wanaenda kuringishia maendeleo . Wacha niwape kahistoria kidogo.
Mimi nimezaliwa miaka ya 1980s nimekuta mababu na mabibi zangu wapo.Na uzuri wazazi wetu sisi walizaliwa na kukulia Kilimanjaro kwa hiyo ilikuwa mwezi wa kumi na mbili ndio mwezi pekee unaweza kwenda nyumbani wakakutana na marafiki ndugu na jmaa kwa urahisi kwa sababu ni msimu ambao hata shule zimefungwa na maofisini wengi wamepata ruhusa. Wazazi walikuwa wanaenda Kilimanjaro mara kwa mara ila mwezi wa kumi na mbili ilikuwa inanoga zaidi..Na ukizingatia familia nyingi ulikuta watoto wamesambaa mikoa tofauti kutafuta maisha..Wengine dar.wengune arusha na Kila mkoa walipoona fursa..Hawa watu njia pekee iliyobaki ya kukutana na kutambulishana familia ni xmass kukutana nyumbani kwa wazazi wao Kila mtu akishinikuzwa kuja na familia zao.
Kikaja kizazi chetu sisi cha miaka ya 80 ambao hatukuzaliwa Kilimanjaro Wala kukulia huko na wazazi wako huku dsm .njia pekee waliyoitumia wazazi Ili kuturithisha huo utamadhni ilikuwa ni kwenda nasi mara kwa mara..ila kwetu sisi haikuwa inanoga sana cause hatukuzaliwa na kukulia huko..walipoona tunaanza kurudi nyuma wakaja na mbinu ya kufanya vikao vya ukooo Kila mwaka ifikapo December ..na ni lazima kuhudhuria..kwenye vikao hivyo ndipo tunapotambulishana familia zetu na kuzidi kujuana..ndipo unapoona home kumekaaje na uparekebishe..ndipo mnapokutana na ndugu Wengine kubadilisha mawazo na kupeana mawazo ya kimaisha.asilimia kubwa ya wanaopanda kaskazini nowdays ni kwenda kwenye vikao ..asilimia ndogo ndio kwenda kwa mapumzikooo....
ninachofurahi ni kuona huu utamaduni umeanza kuenea na mikoa mingine pia..mikoa ambayo ilizoea kuloea dsm miaka nenda Rudi now wameanza utamaduni wa kurudi nyumbani decemba.
Mimi mwenyewe nasubiri tu ofisini ikae sawa nipande nikapige mbegeeeeee....
Ni sawa, lakini kila kabila likiwa na utamaduni nani na nani watabaki.
 
Back
Top Bottom