Kuna siri gani kati ya Wachaga na Mwisho wa Mwaka?

Kuna siri gani kati ya Wachaga na Mwisho wa Mwaka?

Tusidanganyane. Huko si nyumbani ni asili yenu tu na unarudi kutalii kama Black americans wanavyokuja Africa.

Kutokuuza ardhi wakati wewe ulipoenda umeuziwa ni ubinafsi tu. Waliowauzia wao hawathamini kwao?

Unaenda mara moja kwa mwaka, watoto wako wataenda mara moja kwa mwaka, wajukuu wataenda mara moja kwa mwaka, Vitukuu wataenda mara moja kwa mwaka. Huko ni kutalii kwenye asili yenu na si jambo baya.
Ila kwenye kuuza arthi wachaga tupo nyuma, kuna mzee aliugua figo akakataa kuuzia kisehem kanisa ili atibiwe, akateseka mpaka akafa.
 
Mimi ninachojua asilimia kubwa hampendi kweli kukaa Kilimanjaro maana ni pabaya na hakuna issue yoyote ya maana.

Hii hype ya kurudi huko sasa hivi ni mihemko tu na ego fulani ya kutaka watu wakuone na mimi ni mchagga narudi X-mass Kilimanjaro.

Na ndio maana mko busy kufanya promotion kuwa mnarudi kwa watu ambao hata haiwahusu.

Ina maana watu wakipuuza mnajisikia vibaya.

Tena, kwa wasiojua zaidi ya 95% ya wachagga wanatamani Krismasi ipite fasta warudi sehemu wanazozipenda.

Maana kukaa huko Kilimanjaro ni adhabu tosha.
Dada unaumia sana,acha hiyo tabia ya chuki za kingese bladifaken
 
Dada unaumia sana,acha hiyo tabia ya chuki za kingese bladifaken
Mangi unatafuta mume?

IMG_20211212_191326.jpg
 
Mimi niko hapa Uchira, Moshi DC. Nilianzia KCMC Moshi hapo Kibo.

Huko kwingine kote nimeshazurula tena vijijini kabisa na sioni jipya.

Mpaka Arusha nimeetembea mnoo. Hakuna maajabu.
Ila moshi ni pakali si kama majita.
 
Ni utaratibu wa jamii nyingi kurudi nyumbani kusherekea sikukuu na ndugu. Ni vile tuu jamii ya kichaga wamefanya jambo liwe endelevu na ulazima fulani.

Nimesikia kwenye redio tangazo ukoo unakikao tarehe 26
 
kubaya sanaaa huwezi fananisha na Mwanza
Mpaka Leo usukumani watoto na watu wazima wanaliwa na fisi wakiwa hai!!!
Mpaka Leo usukumani albino huwawa kwa kuusaka utajiri !!!??
Mpaka wazee usukumani huuwawa !!!
 
Mpaka leo baba wa kichagga hulala na mke wa mtoto wake hadi kuzaa naye. Wanawake wenyewe miguu kama spoku na kifua kama dume la simba !
Mpaka Leo usukumani watoto na watu wazima wanaliwa na fisi wakiwa hai!!!
Mpaka Leo usukumani albino huwawa kwa kuusaka utajiri !!!??
Mpaka wazee usukumani huuwawa !!!
 
Wasukuma bado hata ustaarabu wa vyoo hamna mnakunya ziwani, ndio mnataka mjifananishe na Wachaga?

Kilimanjaro na Arusha ni most beautiful city in Tanzania.

Atakayekwambia Moshi kubaya hana pesa, hata Dar kama huna pesa ni kubaya sana utaishia kwa mtogole tu wakati wamba wanakula maisha Masaki.
Wachagga wamefanikiwa sana kuwafanya Wakurya na Wanyakyusa misukule yao miaminifu sana.
 
Hapo sawa. Na sehemu yoyote ili kuwe na mazingira mazuri ya utafutaji lazima kuwe na uwekezaji. Huko hakuna uwekezaji kwa sababu watu wanaenda mara moja kwa mwaka na hawaaliki wageni wawekeze.
Wabongo mmelezwa na neno uwekezaji. Kila kitu mnadhani ni kuwekeza tu. Nenda nchi za Scandivia uone. Wengi wanaishi mjini lakini pia wengi wana nyumba za summer wajenga mbali na miji kabisa, porini. Ikifika wakati wa summer wanaenda huko kuishi kwa muda ili ku-experince nature. Wewe unafikiri kila sehemu ni ya kuweka uwekezaji? Hivyo wachaga nao wanaendeleza utamaduni wao ambao ni mzuri. Mtu unakuwa na sehemu ya kupumzisha mawazo hata iwe porini. Nadhani makabila mengine badala ya kuanza kuonyesha chuki zisizo na maana, wangeiga. Tanzania ina eneo kubwa. Mtu hata kama umetoka sehemu za porini ni kwako tu, unatakiwa ujivunie. Nenda jenga hata nyumba ya miti na uwe unakwenda angalau mara moja kwa likizo watoto wako wanapata experince ya nature. Kama una uwezo jaribu kufanya hivyo utakuja kunishukuru. Sehemu kama Singida vijijini zina mazingira mazuri tu. Chukuwa likizo, rudi kwenu ukaishi hata kwenye nyumba ya tembe bila kuona aibu. Jiamini utakuja kuona hiyo tembe ina thamani hata kuliko ghorofa lililo Dar.
 
Mpaka leo baba wa kichagga hulala na mke wa mtoto wake hadi kuzaa naye. Wanawake wenyewe miguu kama spoku na kifua kama dume la simba !
Umeshawahi kuona wachina? Wazungu? Wahindi? Nataka kukuambia kuwa maumbo ya wanawake hata yawe mazuri namna gani hayasaidii kuleta maendeleo. Sana sana yanarudisha watu nyuma.
 
Mimi naishi Kilimanjaro, ninachosema ndio ukweli wala sina sababu ya kuumia wakati wachgga ndio watu naishi nao.
Mhhhhhhh[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huna lolote kijiba cha roho.

Wachaga wacha kabisa kwao ni zaidi ya uswiz
 
Mhhhhhhh[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huna lolote kijiba cha roho.

Wachaga wacha kabisa kwao ni zaidi ya uswiz
Jamaa wamejiandaaa bana

Ova
 
Attachments

  • VID-20211224-WA0028.mp4
    4.3 MB
Wabongo mmelezwa na neno uwekezaji. Kila kitu mnadhani ni kuwekeza tu. Nenda nchi za Scandivia uone. Wengi wanaishi mjini lakini pia wengi wana nyumba za summer wajenga mbali na miji kabisa, porini. Ikifika wakati wa summer wanaenda huko kuishi kwa muda ili ku-experince nature. Wewe unafikiri kila sehemu ni ya kuweka uwekezaji? Hivyo wachaga nao wanaendeleza utamaduni wao ambao ni mzuri. Mtu unakuwa na sehemu ya kupumzisha mawazo hata iwe porini. Nadhani makabila mengine badala ya kuanza kuonyesha chuki zisizo na maana, wangeiga. Tanzania ina eneo kubwa. Mtu hata kama umetoka sehemu za porini ni kwako tu, unatakiwa ujivunie. Nenda jenga hata nyumba ya miti na uwe unakwenda angalau mara moja kwa likizo watoto wako wanapata experince ya nature. Kama una uwezo jaribu kufanya hivyo utakuja kunishukuru. Sehemu kama Singida vijijini zina mazingira mazuri tu. Chukuwa likizo, rudi kwenu ukaishi hata kwenye nyumba ya tembe bila kuona aibu. Jiamini utakuja kuona hiyo tembe ina thamani hata kuliko ghorofa lililo Dar.
Sawa.😂😂
 
Back
Top Bottom