mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Naona home boy umechekaaHivi kuna mtu alizuiwa kwenda kwao
Ova
Maana nashangaa watu kaskazini
Ikifika Dec wakiendaga kwao watu wana
Mind,sasa kama mtu kwao singida,katavi,sumbawanga,mbeya,songea,
Mtwara,lindi,kigoma ....bukoba
Je wamezuiwaa kwenda makwaoo
Naulizaa tu
Wyatt Mathewson
Ova