JABALI LA KARNE
JF-Expert Member
- Apr 19, 2021
- 3,093
- 5,850
Hakuna watu wajanja kama watu wa DSM. Wamejengewa jiji na watu wa mikoni. Wale ni watoto wa mjini aisee.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao wanaoenda kwao huwa wanaenda kufanya nn?Kwenu kigoma unaenda nyumbani desemba kufanya nini? Kama sio kupoteza pesa.
Uchumi upo imara tangu zamani, mtu ameacha gorofa panya wanachezea.Hao wanaoenda kwao huwa wanaenda kufanya nn?
Mtu anayepswa kuringia kwao ni yule aliyebaki akikuza uchumi wa pale mwaka mzima au aliyekaribisha wageni waje wakuze uchumi wa hapo. Wengine wote wa kwenda mwisho wa mwaka hawana hiyo haki.
Ungekuwa sahihi sana kama disemba watu wangetoka KLM kwenda makwao kusalimia.kilimanjaro ni sehemu nzuri ya kuishi
Huo sio uchumi ni utelekezaji wa rasilimali. BABATI mjini kuna uchumi kuliko moshi.... Pale wenyeji wanawakaribisha sana wageni kufanya biashara.Uchumi upo imara tangu zamani, mtu ameacha gorofa panya wanachezea.
Kwani hao wachagga wanaoenda huko mwisho wa mwaka wa nini huko ? Asilimia 75 wanamiliki robo eka ya mchaichai halafu eti wanajiita matajiri ! Ni utaahira wa kiwango cha lami.Wasukuma unakuta wamezaliwa 20
wote hawongei.
Ndugu hawakumbukani majina
Baba kaachia laana watoto wake.
Nyumba ya nyasi
Ataenda nyumbani desemba kufanya nini?
Nani aishi makaburini ? We vipi ?Ni wachaga pekee hurudi kwao kwa wingi msimu wa sikukuu kuliko kabila lolote africa, wachaga wametapakaa kila kona yenye fursa sio kwamba nyumbani ni pabaya ,wengi hurudi kujenga tena nyumba za maana na huko walipo pia hujenga pia,
huwezi kwenda ugenini popote ukakuta mchaga amekaa sehemu mwenyewe lazima utawakuta wawili watatu au zaidi
huwezi fika sehemu yenye fursa ukamkosa mchaga kama hayupo anakuja soon ilo eneo.
wachaga sio watu wa shooff ktk maswala ya pesa labda hawa waliozaliwa mijini huku,ila unaweza kuta anamiLioni zake kadhaa ndani ila ukimuanglia kama hana mia mfukoni ila litokee jambo la maana ndo mnaposema hwwa watu ni wezi ela katoa wapi gafla hivi
wanawake si wanaume wakichaga mapenzi aisee wapo nyuma sana
ktk ilo suala inabid wajirekebishe au labda kama sio kipaumbele kwao
pombe huwezi itenganisha na mchaga maana ni rawmaterial za damu zao [emoji23],
kilimanjaro ni sehemu nzuri ya kuishi
Sehemu nzuri ya kuishi, nikimaanisha hali ya hewa, mandhari,na vitu kama hivyo ila kwa utafutaji sio kama darUngekuwa sahihi sana kama disemba watu wangetoka KLM kwenda makwao kusalimia.
Hapo sawa. Na sehemu yoyote ili kuwe na mazingira mazuri ya utafutaji lazima kuwe na uwekezaji. Huko hakuna uwekezaji kwa sababu watu wanaenda mara moja kwa mwaka na hawaaliki wageni wawekeze.Sehemu nzuri ya kuishi, nikimaanisha hali ya hewa, mandhari,na vitu kama hivyo ila kwa utafutaji sio kama dar
Kuwa na kaburi la mpendwa wako sio vibaya inakukumbusha nawe utaishia apo na inakukumbusha mengi, mfano nimekuta kaburi la wazee ambalo ni tangu 1889lipo pale Kutunza kumbukumbuNani aishi makaburini ? We vipi ?
Robo heka yenye ghorofa, nyie mna heka 50 zenye mawe.Kwani hao wachagga wanaoenda huko mwisho wa mwaka wa nini huko ? Asilimia 75 wanamiliki robo eka ya mchaichai halafu eti wanajiita matajiri ! Ni utaahira wa kiwango cha lami.
Akizeeka lazima awe mchawi huyu.Wewe mtu wa mara unachuki na wachagga sana mkuu, utazeeka kwa kuchukia alishindwa magufuli sembuse wewe kibushuti uchwara, tena wajiita mkaruka umezoea kula tu furu ndio maana mjinga
Kili arusha ni miji ya utalii, ni nadra sana ukauziwa eneo kilimanjaro maana utapitia process nyingi sana, na hata ukaacha mji wako miaka kumi hutokuja kuta umevamiwaHapo sawa. Na sehemu yoyote ili kuwe na mazingira mazuri ya utafutaji lazima kuwe na uwekezaji. Huko hakuna uwekezaji kwa sababu watu wanaenda mara moja kwa mwaka na hawaaliki wageni wawekeze.
Mimi sina haja ya kutaja vyote hivyo.Taja mkoa wako.....
Wilaya.....
Kata ....
Kijiji....
Ndo ukosoe wachagga...vinginevyo ni chuki za waziwazi. Kwanza hao wachagga wanaoenda kwao huwachangii hata kidogo zaidi saana wanaongeza mapato ya Manispaa ili wewe upate posho yako hapo kazini ( may be). Lakini siku zote kuwaponda. Huoni wanaendeleza kwao, wanarudisha pesa kwao kwa manunuzi wanayofanya, utamaduni wao, ndugu kukaa pamoja yote hayo huoni unaona tu eti wanaenda kwa ma ex. Hapa ndo chuki yenu inaonekana kwao.
Nyinyi si mkwende kwenu pia....oohhhh nauli juuu.......okay stop hating be inspired na wachagga
Tusidanganyane. Huko si nyumbani ni asili yenu tu na unarudi kutalii kama Black americans wanavyokuja Africa.Kili arusha ni miji ya utalii, ni nadra sana ukauziwa eneo kilimanjaro maana utapitia process nyingi sana, na hata ukaacha mji wako miaka kumi hutokuja kuta umevamiwa
eneo ni la vizazi kwa vizazi wachaga hueshimu sana kwao hata kama umezaliwa wapi uko kuna vitu tu vitaletwa nyumbani hasa kwa wanaume,