nizakale
JF-Expert Member
- Oct 23, 2019
- 4,035
- 2,938
Akikujibu nitagUkiwajua ndugu na lugha yako inakuletea maendeleo kiasi gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akikujibu nitagUkiwajua ndugu na lugha yako inakuletea maendeleo kiasi gani?
Mwanza ipi hii ya mawe na uvundo wa samaki waliooza. Wasukuma achaneni n.a. wachaga hao ni kabila takatifu. Gamboshi hoiii. Pumbafu sana wasukuma.
Dah nimekaa moshi miaka 6,dah life style ya watu wa moshi ni peace sana hakunagaumbeaumbea,kama uzunguni vile,Asiyependa kula sikukuu za mwisho wa mwaka kwao ujue kwao kubaya
Unaishi Kilimanjaro umeajiriwa apo halmashauri rombo je wachaga unawafaham vizur waliokata tamaa wapo pia , karbu na machame , nenda marangu, kibosho uru, oldmosh na nk then ndo uwe na dharau zako sasa,.Mimi naishi Kilimanjaro, ninachosema ndio ukweli wala sina sababu ya kuumia wakati wachgga ndio watu naishi nao.
Mimi niko hapa Uchira, Moshi DC. Nilianzia KCMC Moshi hapo Kibo.Unaishi Kilimanjaro umeajiriwa apo halmashauri rombo je wachaga unawafaham vizur waliokata tamaa wapo pia , karbu na machame , nenda marangu, kibosho uru, oldmosh na nk then ndo uwe na dharau zako sasa,.
Wewe mtu wa mara unachuki na wachagga sana mkuu, utazeeka kwa kuchukia alishindwa magufuli sembuse wewe kibushuti uchwara, tena wajiita mkaruka umezoea kula tu furu ndio maana mjingaMimi ninachojua asilimia kubwa hampendi kweli kukaa Kilimanjaro maana ni pabaya na hakuna issue yoyote ya maana.
Hii hype ya kurudi huko sasa hivi ni mihemko tu na ego fulani ya kutaka watu wakuone na mimi ni mchagga narudi X-mass Kilimanjaro.
Na ndio maana mko busy kufanya promotion kuwa mnarudi kwa watu ambao hata haiwahusu.
Ina maana watu wakipuuza mnajisikia vibaya.
Tena, kwa wasiojua zaidi ya 95% ya wachagga wanatamani Krismasi ipite fasta warudi sehemu wanazozipenda.
Maana kukaa huko Kilimanjaro ni adhabu tosha.
Huko mwanza watu wanakokunya ziwani?kubaya sanaaa huwezi fananisha na Mwanza
Toka lini wachunga ng'ombe mkawaga na akili, hata kwa hii thread umeonyesha jinsi gani bado mna akili za king'ombeWasukuma ni kabila la hovyo hovyo ? Koma usirudie tena kusema hivyo. Kwa ufupi Kilimanjaro ni pakukaa manyani tu siyo binadamu. Nani akae huko milimani kwenye umande na ukungu kama nyani ? Huko ukifa unapelekwa kuzikwa tu ni makaburini kama Kinondoni makaburini. Huo ndio ukweli mchungu.
Debe TUPU haliachi KUTIKA.Wewe mtu wa mara unachuki na wachagga sana mkuu, utazeeka kwa kuchukia alishindwa magufuli sembuse wewe kibushuti uchwara, tena wajiita mkaruka umezoea kula tu furu ndio maana mjinga
The hate is ReAlSikukuu za mwisho wa mwaka siyo lazima iwe mwaka mpya na X-mass.
Hizo ni sikukuu za Kikristo. Jifunze, hii dunia ni kubwa na ina watu zaidi ya billioni 7.
Kuna sehemu nyingine sasa hivi siyo mwaka 2021.
Punguza chuki wewe, life is short sana, Yani chuki imepokufusha hadi umekuwa irrational kabisa, hafu watu wa mkoa wako huwa wako smart wewe Sasa aaarghDebe TUPU haliachi KUTIKA.
Waswahili walishamaliza.
Nchi hii ina Makabila zaidi ya 120.
Cha ajabu ni nini Sasa hapo, usichukulie mambo serious sanaHating this ??[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
What a JOKE[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
View attachment 2055544
Labda huruma. Mimi niwe na CHUKI na watu kama hawa 👇👇👇👇Punguza chuki wewe, life is short sana, Yani chuki imepokufusha hadi umekuwa irrational kabisa, hafu watu wa mkoa wako huwa wako smart wewe Sasa aaargh
Taja mkoa wako.....Hating this ??[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
What a JOKE[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
View attachment 2055544
Hapo umeshindwa kuona barabara inayopitika misimu yote ya mwaka na usafiri wa bodaboda kumrudisha mlevi nyumbani we umeona mlevi tuu aliyetumia pesa yake....ndiyo maana tunaona ni chuki....jenga kwenu likizo kale na ndugu zako inapendezaHating this ??[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
What a JOKE[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
View attachment 2055544
🤣🤣🤣🤣Hapo umeshindwa kuona barabara inayopitika misimu yote ya mwaka na usafiri wa bodaboda kumrudisha mlevi nyumbani we umeona mlevi tuu aliyetumia pesa yake....ndiyo maana tunaona ni chuki....jenga kwenu likizo kale na ndugu zako inapendeza
Na jamaa namjua. Jirani yetu huyo[emoji23] jana neno na mtu. Si bora kuna bodaboda za kuwakokota. Kwao wana nnHapo umeshindwa kuona barabara inayopitika misimu yote ya mwaka na usafiri wa bodaboda kumrudisha mlevi nyumbani we umeona mlevi tuu aliyetumia pesa yake....ndiyo maana tunaona ni chuki....jenga kwenu likizo kale na ndugu zako inapendeza