bablai2020
Senior Member
- Sep 5, 2020
- 149
- 373
Kuna topic zimeanzishwa humu kuwadhihaki wachaga na kwenda kwao kwa wingi msimu huu kwa Christmas, Wengine wakidai wanenda kutambika mara Wengine wanadai wanaenda kuringishia maendeleo . Wacha niwape kahistoria kidogo.
Mimi nimezaliwa miaka ya 1980s nimekuta mababu na mabibi zangu wapo.Na uzuri wazazi wetu sisi walizaliwa na kukulia Kilimanjaro kwa hiyo ilikuwa mwezi wa kumi na mbili ndio mwezi pekee unaweza kwenda nyumbani wakakutana na marafiki ndugu na jmaa kwa urahisi kwa sababu ni msimu ambao hata shule zimefungwa na maofisini wengi wamepata ruhusa. Wazazi walikuwa wanaenda Kilimanjaro mara kwa mara ila mwezi wa kumi na mbili ilikuwa inanoga zaidi..Na ukizingatia familia nyingi ulikuta watoto wamesambaa mikoa tofauti kutafuta maisha..Wengine dar.wengune arusha na Kila mkoa walipoona fursa..Hawa watu njia pekee iliyobaki ya kukutana na kutambulishana familia ni xmass kukutana nyumbani kwa wazazi wao Kila mtu akishinikuzwa kuja na familia zao.
Kikaja kizazi chetu sisi cha miaka ya 80 ambao hatukuzaliwa Kilimanjaro Wala kukulia huko na wazazi wako huku dsm .njia pekee waliyoitumia wazazi Ili kuturithisha huo utamadhni ilikuwa ni kwenda nasi mara kwa mara..ila kwetu sisi haikuwa inanoga sana cause hatukuzaliwa na kukulia huko..walipoona tunaanza kurudi nyuma wakaja na mbinu ya kufanya vikao vya ukooo Kila mwaka ifikapo December ..na ni lazima kuhudhuria..kwenye vikao hivyo ndipo tunapotambulishana familia zetu na kuzidi kujuana..ndipo unapoona home kumekaaje na uparekebishe..ndipo mnapokutana na ndugu Wengine kubadilisha mawazo na kupeana mawazo ya kimaisha.asilimia kubwa ya wanaopanda kaskazini nowdays ni kwenda kwenye vikao ..asilimia ndogo ndio kwenda kwa mapumzikooo....
ninachofurahi ni kuona huu utamaduni umeanza kuenea na mikoa mingine pia..mikoa ambayo ilizoea kuloea dsm miaka nenda Rudi now wameanza utamaduni wa kurudi nyumbani decemba.
Mimi mwenyewe nasubiri tu ofisini ikae sawa nipande nikapige mbegeeeeee....