Kuna siri gani kati ya Wanaume wenye rasta na Wazungu?

Kuna siri gani kati ya Wanaume wenye rasta na Wazungu?

DullyJr

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2011
Posts
13,983
Reaction score
11,857
Mwigizaji wa kibongo Nagwa ajiokotea bibi wa kizungu,sasa maisha yake ni mazuri kabisa. Hivi kwanini wanawakenwa kizungu wanapenda wanaume wa kiafrika wanaofuga rasta?

FB_IMG_1671425687020.jpg
 
Nilikuwaga rasta ile kutoka moyoni sio hizi za fasheni za siku hizi, rasta (nywele nyingi na ndefu) kuna siri imo ndani yake, wachache wenye kujua kuhusu hili.
Funguka mkuu tupate elimu
 
Back
Top Bottom