Wanawake wa kizungu wanaamini rastas wana uwezo mkubwa wa kungonoka, wanawake weupe wengi tu huwa wanaenda Caribbean hadi huko Jamaica kuingia kwenye mahusiano, hawa wanaofika huku wanaamini hawa Rastas wa huku wapo kama wale wa huko visiwa vya Caribbean, hawa wa huku wanawakilishwa vyema na hao rastas wa huko Jamaica na Caribbean, kwani inasemekana hao jamaa wana libido ya kufa mtu, wakimkamata mzungu wanapiga kweri kweri, sasa habari zinakuwa zinasambaa baina yao, ni kama huku usikie kabila flani Tanzania wanatoa maji wakati wa sex, kwa wanaopenda maji hata mjini akikutana na mwanamke wa hio kabila lazima alale nae mbere kwa mbere.
Rastas huwa wana miiko flani hasa kwenye vyakula na mitindo ya maisha, nahisi pia wazungu wanavutiwa na hayo, ukiachilia mbali ni watu ambao wapo real, wana knowledge, naona pia ile mzungu akikaa na rasta anapata knowldge ya mambo mengi, ukiachilia mbali wanapenda muziki, kuimba na kupiga vifaa vya muziki kama guitar, pia jamaa ni watu wa arts japo sio wote, kwa hio hao jamaa ni full package mtoto wa kizungu lazima amuelewe, ndio mambo wazungu wanapenda hayo.
Lakini wazungu hawajui huku kwetu rastas real wachache wengi wahuni tu wa mjini wameamua kusuka rasta apate mzungu.