Kuna siri gani kati ya Wanaume wenye rasta na Wazungu?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
R&D yako haina parameters to justify the course in question
 
Rasta ni nyota kiasili anang'aa kila anapokuwa na kuishi, waafrika wa zamani walikuwa marasta kimuonekano japo sio wote, Rasta hasokoti nywele bali ukiziacha tu zinajisokota zenyewe, I was born Rasta✌️
 
Rasta Ulaya ina represent counter-culture, indigeneous outlook on life.

Wwazungu wanaopenda hayo ndio wanazimia rsta, na hao wengi ndio wanaokuja Africa.

Kuna wazungu wengi tu hawapendi rasta wala watu weusi period.

If you have a net that is limited to catching 5cm, and you use your catch to figure out the size of the smallest fish,you may think the smallest fish is 5cm.

Kuna tofauti kubwa kati ya wazungu wanaopenda kuja Africa, au wanaopenda Waafrica, na wazungu kiujumla.
 
Rastafari is his Name (Jah!) -
Rastafari is his Name (Jah!).

Rasta wana uelewa wa vitu vingi ujuzi na maarifa, wana uaminifu na upendo/utu. Wanajielewa na kujitambua tofauti na waafrica wengi.

Wameshafanya movement nyingi kupigania haki za watu weusi duniani.

Wao ni "roots and culture will rule forever".
Ndio sababu ya kupendwa.

den kiem a babilan fi pik op ai man.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…