Kuna Siri gani mabosi wengi kutokutaka kukaa ofisi

Gulio Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2018
Posts
3,383
Reaction score
7,980
Hili jambo nimeliona kwa muda mrefu mabosi wengi wenye maduka kutopenda kukaa ofisini duka kubwa lakini boss haoni hofu yoyote kuwaacha vijana hata mwezi mzima bila wao kukaa dukani
Wapo wanaokaa madukani lakini kijana ndiye anawaachia kuhudumia wateja na kupokea pesa

Huu ni mfumo tofauti na baadhi ya watu Kuamini yeye asipokuwepo na mambo hayawezi kwenda
 
Yani anza kuhisi unaibiwa uone vyenye utaibiwa ama anza kuhisi hauibiwi uone mambo yatakavyo enda vyedi
 
Hili jambo nimeliona kwa muda mrefu mabosi wengi wenye maduka kutopenda kukaa ofisini duka kubwa lakini boss haoni hofu yoyote kuwaacha vijana hata mwezi mzima bila wao kukaa dukani
Wapo wanaokaa madukani lakini kijana ndiye anawaachia kuhudumia wateja na kupokea pesa

Huu ni mfumo tofauti na baadhi ya watu Kuamini yeye asipokuwepo na mambo hayawezi kwenda
Sifa ya Mwafrika lazima akishasoma sana let say ana masters au PhD awe expensive kumpata na kupata huduma yake.
 
kasome kuhusu leverage mzee, kiufupi wame gawa nguvu kazi ili wafanye mambo mengine.

rejea if you can't make money while you're sleeping, then go work till you do so.
 
Back
Top Bottom