Gulio Tanzania
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,383
- 7,980
Na hichi Mimi nilikuwa nafikiria zaidiLabda kwakua wanataka wapate muda mwingi wa kufikilia,sababu ngumu sana kua na mafanikio bila kua na muda wa kuwaza mambo.
Sifa ya Mwafrika lazima akishasoma sana let say ana masters au PhD awe expensive kumpata na kupata huduma yake.Hili jambo nimeliona kwa muda mrefu mabosi wengi wenye maduka kutopenda kukaa ofisini duka kubwa lakini boss haoni hofu yoyote kuwaacha vijana hata mwezi mzima bila wao kukaa dukani
Wapo wanaokaa madukani lakini kijana ndiye anawaachia kuhudumia wateja na kupokea pesa
Huu ni mfumo tofauti na baadhi ya watu Kuamini yeye asipokuwepo na mambo hayawezi kwenda
Wapo wengi lakini kwenye huu uzi hawatakuwepo kwa sababu wapo bizeTungempata bosi hata mmoja humu angesaidia kujibu hili vizur🙂
😁😁😀Kumbe mabosi hawatumii jf??Wapo wengi lakini kwenye huu uzi hawatakuwepo kwa sababu wapo bize
Huku JF kila mtu ni bosi, nashangaa hawatoi sababu kwanini hawapo ofisiniTungempata bosi hata mmoja humu angesaidia kujibu hili vizur🙂