Kuna siri gani ya mafanikio ya ghafla kwa wafanyabiashara ya kuuza smartphones?

Naona wauza simu wa makumbusho wamekuja kwenye uzi ngoja tuone kinachoendelea sisi wa tecno za kariakoo
 
Unakutana na duka Lina cover za simu protector chaji na simu kadhaa lakini muuzaji kapanga nyumba ya 200k ,ana crown na simu Kali .
 
Aiseeh ni kweli kabisa Mimi mwenyewe najjulizaga Sana simu wanazouza Bei yake ni expensive Sana , hafu ni simu ambazo Zina wateja Wachache Sana , unakuta kazipanga dukan Kama 100 ukiuliza Bei ni M1.3+ , hivi wenzetu hizi hela wanapata wapi au Kuna namna?[emoji3]
 

[emoji23] Make sure ............ ila acha nifute
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…