Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Kwa muda mrefu nimejaribu kufuatilia hili swala la kugombea Urais wa Tanzania kupitia vyama vya upinzani bado sijapata jibu la moja kwa moja.
Unaona kabisa kuna wanasiasa wako serious kabisa kuwa wagombea wa Urais kupitia upinzani huku kwa hali halisi unaona wazi level zao ni kupambania ubunge ili waendelee kula kodi za Watanzania.
Sasa mambo yasiwe mengi mimi nauliza kuna siri gani iliyojificha au mgombea mshindwaji ananufaika nini katika platform za kimataifa? Maana hii siyo bure kuna kitu ambacho wengi bado hatukijui.