Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wapo ambao ni visionary young politicians ambao wana ndoto,tamaa na nia ya dhati ya kua viongozi katika nchi kisiasa. Regardless ya udogo au influence yao hutamani kuungia kwenye mapambano kujifunza na kupata uzoefu utakao wasaidia huko mbeleni, coz kutokana na political dynamics inaweza tokea kusambaratika kwa, mathalani chama tawala, then katika kipindi hicho huyo mgombea ambae si kitu kwa sasa, ndio akaonekana anafaa zaidi na mwenye uzoefu zaid ya wengine kubeba mrengo wa wengi katika msambaratiko huo 🐒Kwa muda mrefu nimejaribu kufuatilia hili swala la kugombea Urais wa Tanzania kupitia vyama vya upinzani bado sijapata jibu la moja kwa moja.
Unaona kabisa kuna wanasiasa wako serious kabisa kuwa wagombea wa Urais kupitia upinzani huku kwa hali halisi unaona wazi level zao ni kupambania ubunge ili waendelee kula kodi za Watanzania.
Sasa mambo yasiwe mengi mimi nauliza kuna siri gani iliyojificha au mgombea mshindwaji ananufaika nini katika platform za kimataifa? Maana hii siyo bure kuna kitu ambacho wengi bado hatukijui.
Hapa nachukuwa la pili, nadhani hiki ndio wengi hatukijui, mabeberu wanaweza kukuweka kwenye program yao kwa 20 years to come.wapo ambao ni visionary young politicians ambao wana ndoto,tamaa na nia ya dhati ya kua viongozi katika nchi kisiasa. Regardless ya udogo au influence yao hutamani kuungia kwenye mapambano kujifunza na kupata uzoefu utakao wasaidia huko mbeleni, coz kutokana na political dynamics inaweza tokea kusambaratika kwa, mathalani chama tawala, then katika kipindi hicho huyo mgombea ndio akainekana anafaa na mwenye uzoefu zaid ya wengine kubeba mrengo wa wengi katika msambaratiko 🐒
Lakini pili,
kunaweza kukawa na msukumo nje kutoka vyama rafiki kutoka huko ng'ambo. Kijana akaandaliwa kama puppet na akafadhiliwa kwa kila kitu na mabwenyenye kama ambavyo iko sasa kwa baadhi ya wagombea wa upinzani 🐒
hata hivyo, kua puppet kuna kua na makubaliano kwamba ukipata huo Uongozi utawapatia fursa na rasilimali za nchi kadiri wapendavyo 🐒