Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
johnthebaptist TUWE WAKWELI, USHABIKI TUUWEKE PEMBENI, SAMIA ANAANYA NINI KATIKA URAIS? NINI ANACHOKIFANYA AMBACHO MTU YEYOTE TOKA UPINZANI HAWEZI KUKIFANYA?Walau sasa Chadema Wana Tundu Antipas Lisu na ACT Wazalendo Wana Othman Masoud
Dunia ya Leo unataka viongozi wavumilivu Sifa ambayo Rais Samia anayo na hao uliowataja na wengine wengi hawanajohnthebaptist TUWE WAKWELI, USHABIKI TUUWEKE PEMBENI, SAMIA ANAANYA NINI KATIKA URAIS? NINI ANACHOKIFANYA AMBACHO MTU YEYOTE TOKA UPINZANI HAWEZI KUKIFANYA?
SAMIA ANA EXTRA QUALITIES ZIPI AMBAZO MBOWE HANA, ZITO HANA, HECHE HANA, MSIGWA HANA ETC ETC NA WEGINE WENGI TU!
Ni kweli mkuu tena wawe wavumilivu hata wakigundua ufisadi mkubwa wa Mali za ummaDunia ya Leo unataka viongozi wavumilivu Sifa ambayo Rais Samia anayo na hao uliowataja na wengine wengi hawana
Uvumilivu wa kuvumilia wizi wa pesa za umma na kusameh majambazi? Kulea machawa na teuzi za kujirudiarudia kama zawad za Bethidei?Dunia ya Leo unataka viongozi wavumilivu Sifa ambayo Rais Samia anayo na hao uliowataja na wengine wengi hawana
Mkuu Unazifahamu sifa za Ugombea Urais Kwa Tanzania?Kama Amekidhi Sifa za Kikatiba wewe ni nani useme kwamba Hajakidhi Vigezo?Au unafikiri Sifa ya Kugombea Urais ni Lazima Uwe Maarufu/Mwenyekiti wa Chama na Uwe Tajiri?Au Umeshakaa Serikalini Kwa Miaka Mingi?Kwa muda mrefu nimejaribu kufuatilia hili swala la kugombea Urais wa Tanzania kupitia vyama vya upinzani bado sijapata jibu la moja kwa moja.
Unaona kabisa kuna wanasiasa wako serious kabisa kuwa wagombea wa Urais kupitia upinzani huku kwa hali halisi unaona wazi level zao ni kupambania ubunge ili waendelee kula kodi za Watanzania.
Sasa mambo yasiwe mengi mimi nauliza kuna siri gani iliyojificha au mgombea mshindwaji ananufaika nini katika platform za kimataifa? Maana hii siyo bure kuna kitu ambacho wengi bado hatukijui.
Mkuu Unazifahamu sifa za Ugombea Urais Kwa Tanzania?Kama Amekidhi Sifa za Kikatiba wewe ni nani useme kwamba Hajakidhi Vigezo?Au unafikiri Sifa ya Kugombea Urais ni Lazima Uwe Maarufu/Mwenyekiti wa Chama na Uwe Tajiri?Au Umeshakaa Serikalini Kwa Miaka Mingi?Kwa muda mrefu nimejaribu kufuatilia hili swala la kugombea Urais wa Tanzania kupitia vyama vya upinzani bado sijapata jibu la moja kwa moja.
Unaona kabisa kuna wanasiasa wako serious kabisa kuwa wagombea wa Urais kupitia upinzani huku kwa hali halisi unaona wazi level zao ni kupambania ubunge ili waendelee kula kodi za Watanzania.
Sasa mambo yasiwe mengi mimi nauliza kuna siri gani iliyojificha au mgombea mshindwaji ananufaika nini katika platform za kimataifa? Maana hii siyo bure kuna kitu ambacho wengi bado hatukijui.
Kama Magufuli alikuwa dhalimu na mlisema ni bonge la kiongozi, tuwaeleweje sasa? Au ni mambo ya bandera fuata upepo?Dunia ya Leo unataka viongozi wavumilivu Sifa ambayo Rais Samia anayo na hao uliowataja na wengine wengi hawana
Kwani Retired kamtaja Shujaa Magufuli?Kama Magufuli alikuwa dhalimu na mlisema ni bonge la kiongozi, tuwaeleweje sasa? Au ni mambo ya bandera fuata upepo?
Baado upo gizani, kuna kitu bado hukielewi, subiri wajuzi wa mambo watakuja kutujuza.Mkuu Unazifahamu sifa za Ugombea Urais Kwa Tanzania?Kama Amekidhi Sifa za Kikatiba wewe ni nani useme kwamba Hajakidhi Vigezo?Au unafikiri Sifa ya Kugombea Urais ni Lazima Uwe Maarufu/Mwenyekiti wa Chama na Uwe Tajiri?Au Umeshakaa Serikalini Kwa Miaka Mingi?
Jibu ni Hapana Mkuu.
Faida za Kugombea Urais ni Pamoja na kutumia haki yako ya Kikatiba,Kutimiza wajibu wako wa KIkatiba,Kuonesha Maono yako kuhusu Taifa Lako?Na Kama Ukishinda ni heshima Kutumia Nafasi yako kuendesha nchi yako kwa haki na usawa?
So Usiogope.Kugombea Urais sio Reserved Position kwa ajili ya watu maalum.Wala kugombea Ubunge/Udiwani au hata Uenyekiti wa Mtaa sio reserved Position.Ni haki na wajibu wako kikatiba .
Unakaribishwa hata wewe Kugombea
Kwa kizungu hivi Ndio Vigezo:
"Article 39(1) of the 1977 Constitution requires candidates to be Tanzanian citizens by birth, at least 40 years old, be nominated by a political party of which they are a member, be qualified to be an MP or a member of the Zanzibar House of Representatives, and not have any convictions related to tax evasion."
Sidhani hata kama una hoja ya maana zaidi ya story za vijiweni.Baado upo gizani, kuna kitu bado hukielewi, subiri wajuzi wa mambo watakuja kutujuza.
Wewe Bar vichaa huwezi kuelewa mantiki ya hoja yangu.Sidhani hata kama una hoja ya maana zaidi ya story za vijiweni.
Atleast wewe kuna point umeandika ya kueleweka, ila bado kuna kitu nahisi hatukijui.Ruzuku, chama kilichosimamisha mgombea urais na akafanikiwa kupata kura kadhaa na idadi kadhaa ya wabunge inajihakikishia kiwango kikubwa cha ruzuku, ACT itavuna wabunge wengi Zanzibar na kama wakapata kura nyingi za mgombea urais was JMT basi wanaweza kuwashinda chadema kwenye kupata ruzuku, hapo zito atawaambia tu alipwe mshahara saw na ambao angelipwa kama angelikua mbunge kwa kipindi cha miaka mitano.
Punguza utoto dogo.Wewe Bar vichaa huwezi kuelewa mantiki ya hoja yangu.
Lipumba naye utasikia anagombea.
uvumilivu wa kila mmoja ale kwa urefu wa kamba yake? Najua mnapatapata kwenye maeneo yenu ndiyo uvumilivu.Dunia ya Leo unataka viongozi wavumilivu Sifa ambayo Rais Samia anayo na hao uliowataja na wengine wengi hawana
Kweli, kingine ni kupunguza kura za upinzani hasa chadema, zittto ni sawa na timu ya coastal Union kwa simba, nadhani mliosoma kuba mmenielewaAtleast wewe kuna point umeandika ya kueleweka, ila bado kuna kitu nahisi hatukijui.
Mkuu wewe Ndio Upo Gizani.Urais sio maalum kwa ajili ya watu fulani.Wewe endelea kukaa Gizani...Baado upo gizani, kuna kitu bado hukielewi, subiri wajuzi wa mambo watakuja kutujuza.