Kuna siri kubwa iliyofichwa katika kuoga maji ya maporomoko ya Marangu

Kuna siri kubwa iliyofichwa katika kuoga maji ya maporomoko ya Marangu

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
20,561
Reaction score
24,428
Hakuna kuongea sana siri za kimungu zilizopo katika maji hayo ni za ajabu na zinastaajabisha ni mara 1000 zaidi ya maji ya upako, fanyeni hivyo mje kutoa ushuhuda hapa.
Sina mengi, twendeni.
images (1).jpeg
 
Njooni niwakojolee hakika htajuta mkojo wangu nao una kitu cha tofauti
 
Ulijiskiaje ulipooga?
Hata maji ya msitu wa shengena yaliyopo chome wilayani same naskia yana upako wa namna yake pia
Nilisisimka visivyo kawaida.

Mwili ulipiga shoti haswa baada ya kufikisha usoni. Nilishtuka labda mwili haukuwa tayari kupata maji baridi. Ila nilishadumbukia muda tu. Nilitoka.

Nikasimama juu ya jiwe, baadae nikaamua kurudi. Nilisimama muda kidogo bila kuogelea, lakini niliponawa tena usoni hali ile ile ilijirudia. Kwa kiwango kile kile.

Nilipoanza kufikiri kwamba kuna kitu, hali ile ikanipotea mazima.

Siku ilikuwa nzuri sana. Kule dhambi ndipo zinapooshwa (kidding)
 
Sisi watanzania ni tabu tupu. Porojo nyingi sana.

Hawataji hayo maajabu. Lakini aliyeanzisha uzi anasema “yana nguvu mara 1,000 zaidi ya yale ya Mwamposa.”

Na wengineo wanakuja na yao. Mara chemka kule na Uru. Hiyo miujiza wala hizo nguvu hawazitolei ushuhuda zaidi ya porojo tu.
Wachawi mmeanza kujitokeza kupinga maji matakatifu.

Tunajua mbinu zenu.
 
Nimeyaiga sana Kilasia Waterfalls.

Ni maji ya kawaida tu ila hapo yanaposhukia ukidumbukia hapo habari yako kwishney coz kuna shimo refu
 
Back
Top Bottom