Kuna siri kubwa iliyofichwa katika kuoga maji ya maporomoko ya Marangu

Njooni niwakojolee hakika htajuta mkojo wangu nao una kitu cha tofauti
 
Ulijiskiaje ulipooga?
Hata maji ya msitu wa shengena yaliyopo chome wilayani same naskia yana upako wa namna yake pia
Nilisisimka visivyo kawaida.

Mwili ulipiga shoti haswa baada ya kufikisha usoni. Nilishtuka labda mwili haukuwa tayari kupata maji baridi. Ila nilishadumbukia muda tu. Nilitoka.

Nikasimama juu ya jiwe, baadae nikaamua kurudi. Nilisimama muda kidogo bila kuogelea, lakini niliponawa tena usoni hali ile ile ilijirudia. Kwa kiwango kile kile.

Nilipoanza kufikiri kwamba kuna kitu, hali ile ikanipotea mazima.

Siku ilikuwa nzuri sana. Kule dhambi ndipo zinapooshwa (kidding)
 
Wachawi mmeanza kujitokeza kupinga maji matakatifu.

Tunajua mbinu zenu.
 
Nimeyaiga sana Kilasia Waterfalls.

Ni maji ya kawaida tu ila hapo yanaposhukia ukidumbukia hapo habari yako kwishney coz kuna shimo refu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…