Kuna Siri kuu mbili tuu za Kumkojoza Mwanamke

We jifanyie zako, uende.
Kama wewe unakojoa kwanini yeye ashindwe kukojoa.
Wakati wewe unakojoa ye anakuwa wapi?

Msijiongezee matatizo vijana
 
wanaume wamekasirika vibaya mnooo...
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Wanaume wenzangu wanakataa. Na hii ni kuashiria kuwa wanawake wengi wapo katika wakati mgumu. Hawakojozwi.
Kwa maana nilichoeleza ni elimu ya kawaida sana ambayo kijana hata wa kidato Cha nne anaweza kuijua
 
Ukute mtoa mada mkewe/ demu wake wahuni wanajipakulia tu minyama na kujupigia mipasi ya ukweli.
 
We jifanyie zako, uende.
Kama wewe unakojoa kwanini yeye ashindwe kukojoa.
Wakati wewe unakojoa ye anakuwa wapi?

Msijiongezee matatizo vijana

Kama umeoa hiyo Kanuni uliyoisema haifanyi kazi.
Ili Mwanamke awe Mkeo kuna Factors kuu Mojawapo ni kuweza kumkojoza. Kama huwezi huyo sio mkeo hata Sheria inaweza kumpa nafasi avunje ndoa.

Kimaadili, Mwanamke hawezi kukuheshimu kama huwezi kumkojoza. Na kama hawezi kukuheshimu, basi hakuna familia mtaunda
 
Wanaume wenzangu wanakataa. Na hii ni kuashiria kuwa wanawake wengi wapo katika wakati mgumu. Hawakojozwi.
Kwa maana nilichoeleza ni elimu ya kawaida sana ambayo kijana hata wa kidato Cha nne anaweza kuijua
Wanaume hawapendi mambo yao kuwekwa hadharani..
 
Sasa nihangaike na kukojoa kwake, kwani nimemkataza asikojoe, mie ananikojoza nani, si ninakojoa mwemyewe, akiweza akojoe, hawezi atulie atutizame sie tunakojoa.
 
Sasa nihangaike na kukojoa kwake, kwani nimemkataza asikojoe, mie ananikojoza nani, si ninakojoa mwemyewe, akiweza akojoe, hawezi atulie atutizame sie tunakojoa.

😂😂
Mwanamke ni jukumu lako kumkojoza. Wewe si ndiye mumewe?
Kumkojoza ni sehemu ya kuonyesha wewe ni Mwanaume rijali.
 
Aliyekuja kugundua mwanamke anataka na anapenda nini, siku hiyo ndio ilikuwa siku yake ya mwisho hapa duniani.
 
Hahahaha jipe moyo tu mkuu, timu kiba kuna style wanaishia kuziona kwenye porn tu, kuzipractice mtihani. aibu

Kwenye mapenzi style ni bosheni.
Mwanamke akuridhie, hiyo ni Moja. Kumaanisha anahisia na wewe. Sio aje Kwa tamaa ya pesa.

Pili, uwe na mvuto Kwa maana ya uanaume, utanashati.

Tatu, umpe uhuru, usilete mambo ya kiume kwa Mwanamke. Wanawake hawapendi utakatifu na u- perfectionism, au ukosoaji, so cheza na Saikolojia yake. Lengo kumpa furaha na kuimaintain.

Nne, uwezo wa kuuchezea mwili wake na kum-***
 
Aliyekuja kugundua mwanamke anataka na anapenda nini, siku hiyo ndio ilikuwa siku yake ya mwisho hapa duniani.

Hiyo ni misemo tuu mkuu. Isikufanye ukawa mvivu.
Ni kama useme pesa hakuna au Maisha magumu. Ni misemo tuu kuwapa moyo kundi kubwa lililoshindwa kutambua vitu husika.
Ila wanawake wanaeleweka, wanaume wanaeleweka.

Kitu Chochote ambacho kinaonekana, kusikika, kushikika ukisema hukielewi na wewe.

Ambacho hakieleweki ni Mungu pekee
 
Moja ya mambo ambayo huwa sina muda wa kuyashughurikia kumtafutia mtoto hasiye kuwa wangu raha. Ninachohitaji kutoka kwa mke wangu ni mimi kupunguza ujazo wa manii pamoja kunizalia watoto,hilo kukojoa ni uamzi wake aache ama akojoe.
 

Ni Kwa sababu huijui Saikolojia ya mwanamke
Sio kwamba Hana akili timamu. Bali Kuna mambo mengi yanayomfanya Mwanamke awe vile alivyo.
Kwanza lazima uelewe kuwa Mwanamke mtizamo wake juu ya Mwanaume ukoje hasa kwenye suala la kukuona Unapesa.

Mwanamke mtazamo wake ni kama mtoto, kuamini kuwa mumewe au Mwanaume wake anakitu chochote atakachomwomba.
Na kama hauna anaamini unaakili au maarifa ya kukipata.
Hiyo ndio sababu ulimwambia usiku huna Hela, pakikucha anakuambia Tena anahitaji pesa ya matumizi Fulani. Anajua usiku alivyokuambia ushapata suluhu ya wapi utaipata pesa.

Kumbuka, Mwanamke huhitaji mambo Makuu mwili anapokuwa na shida
1. Faraja
2. Umtatulie shida yake.

So unaweza fanya kimoja kati ya hayo au ukafanya vyote. Ili mapenzi yenu yaendelee Kwa furaha. Kutokufanya Kabisa unamkosesha furaha na amani. Anaanza kuhisi hayupo salama.

So kama ulimwambia huna, hakikisha isiishie huna. Bali umpe Faraja, yaani way forward.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…