popomwitu
JF-Expert Member
- Aug 11, 2022
- 261
- 613
Kila la Kheri mkuu kwenye mapambano ya kupambana na ulipotoka..😂Hiyo ni misemo tuu mkuu. Isikufanye ukawa mvivu.
Ni kama useme pesa hakuna au Maisha magumu. Ni misemo tuu kuwapa moyo kundi kubwa lililoshindwa kutambua vitu husika.
Ila wanawake wanaeleweka, wanaume wanaeleweka.
Kitu Chochote ambacho kinaonekana, kusikika, kushikika ukisema hukielewi na wewe.
Ambacho hakieleweki ni Mungu pekee