Kuna Siri kuu mbili tuu za Kumkojoza Mwanamke

Kuna Siri kuu mbili tuu za Kumkojoza Mwanamke

Mkuu unazingatia Sana mapenzi kuliko mabadiliko ya kiroho! Hapo unazungumzia wanawake au Wanauke? Anyway usisahau kwamba mioyo Yao na akili zao zimetawaliwa na: Pesa, pombe, shisha, sigara/Bangi, madawa cocain, kusagwa, uzazi wa mpango nk! Yaaan mke / demu wako ni mke au demu wa mwanamke mwenzie! Mkuu ni kazi kubwa Sana unajipatia kuhangaika na waliokufa kiroho, kiakili, kiuchumi, kimwili yaaan unatafuta ushindi paliko shindikana? Pole Sana mkuu
 
Ujumbe umefika,wanakupinga huku wanaufanyia kazi kimyakimya!
 
Huwezi kurelax ukaenjoy mapenzi wakati una stress, ni kweli hapo hata umbinue vipi hakojoi ng'o!
Mimi naamini kuwa kama ni mkojoaji atakojoa akiamua sababu Unaweza fanya vyote hivyo na asikojoe. Wanawake hawaeleweki siku zingine ataonyesha ushilikiano lakini Kuna wakati anakuacha unahangaika pekeako
Wakati mwingine unapo taka mzigo ndo wakati wa mwanamke kutoa lawama na madai. Hajui huko uliko toka umekumbanana na nini wala hajali. Sasa hapo kutakuwa na maandalizi gani zaidi ya kuvua na kuweka.

Hata hivyo Kuna mambo ambayo umeyasema ni muhimu kuzingatia mfano uhuru na uwazi katika mawasiliano kueleza unavopenda ufanyiwe Ili ufurahie tendo na ,

SWALI je wanawake wana uthubutu huo wakusema nishike hapa, au niguse pale,?
 
Kwa mahangaiko hayo yote huyo mwanamke ananiongezea value gani? I will never waste my energy for a Woman aisee!
Labda anakulelea vzr watoto wako, labda anakutunza vzr kama mume wake, anakuheshimu, anakusikiliza, anakushauri...

Hayo yote hayatoshi kukufanya 'uwaste' a little bit of your energy for her?
 
Ukweli ni kwamba wote wenye msambwanda na wasio nao wana admire bigsize na si timu kiba, coz big anafika popote kiba anaishia njiani tu.

Unaweza ku-admire kitu kisikuridhishe
Sasa nisipo mkojoza Mimi si anatumia dildo. Mbona wanatembea nayo siku hizi kwenye mikoba. Kuzembea kutoa PESA ya matumizi kwa kigezo cha kumkojoza mkuu hujanishawishi kitaa wanachapiwa marejesho ya vikoba ukimsevu TU unaomba unapewa.


Kwishaaaaaaa

Mwanaume lazima uwe full package
 
Kwa mahangaiko hayo yote huyo mwanamke ananiongezea value gani? I will never waste my energy for a Woman aisee!

Mtu akishakuwa mkeo tayari umeona Value yake. Huwezi mfanya mwanamke mkeo kama hana Value.
Akishakuwa mkeo majukumu yako ya msingi ni pamoja na kumkojoza.
 
Sulemani alikaa akawaza akafikiri akasema yote haya ni ubatili ni sawa na kuukimbiza Upepo unafanya kitu kinalia pwiiiiii kila ukiingiza kitu kinatoa mlio pwiiiii unajiuliza nini kinachojamba, akaandika Kitabu kinaitwa MHUBIRI
Kmmk 😁🙌😂
 
Ni wajibu wa mwanamke kujikojoza mwenyewe kabla hata ya Tendo lenyewe (i.e kuwa tayari kukojoa) B'se Sex is not a physical act ni spiritual act


Wajibu wa mwanaume ni kuumba furaha ya kudumu(joy) ndani ya mwanamke tu, mwanamke mwenye furaha hali ana utayari mkubwa mno wa kukojoa wepesi


Kuna tofauti kati ya joy(furaha hali) and Happy ( kicheko/burudani) 👉 mwanamke anadai Joy and not happy, mwanamke mwenye joy anajenga utayari wa kufika kileleni kwa asilimia mia moja
Joy na Happy ni synonyms yanarejelea maana ileile.

Raha ni Pleasure au comfort ambayo mtu huipata kulingana na muktadha. Na mara nyingi haidumu kumaanisha inachukua muda mfupi
 
Back
Top Bottom