Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
- Thread starter
- #141
Haya yote nifanye na PESA nitafute tena!!
Kazi ni kipimo cha utu
Kwani kutafuta pesa ndio jukumu lako pekee. Au ni kazi ngumu Sana?
Haya yote nifanye na PESA nitafute tena!!
Kazi ni kipimo cha utu
Full package bila fimbo ni sawa na bureUnaweza ku-admire kitu kisikuridhishe
Mwanaume lazima uwe full package
Nasemaje, mie naichapa, akitaka kukojoa akojoe, hataki nakojoa mimi na sitaki usumbufu
Full package bila fimbo ni sawa na bure
🤣🤣 Hapana,Nina mambo yangu tu mkuu
Pia Ni Wasiwasi Wao Tu....Comment humu zinatoa muelekeo
Tangia zamani watu wenye dharau walikuwepo.
Suala la kujilazimisha kumridhisha mtu ambaye hajajiandaa kuridhika ni kushindana bila ya kuwa na mshindani,mimi siko tayari kujiunga kwenye mashindano ya kipuuzi namna hiyo.
Hizi mada za kukojoa natumaini iko siku zitakwisha!
Au zipewe jukwaa lake kwa vijana wanao anza balehe 😎
Mkuu unazingatia Sana mapenzi kuliko mabadiliko ya kiroho! Hapo unazungumzia wanawake au Wanauke? Anyway usisahau kwamba mioyo Yao na akili zao zimetawaliwa na: Pesa, pombe, shisha, sigara/Bangi, madawa cocain, kusagwa, uzazi wa mpango nk! Yaaan mke / demu wako ni mke au demu wa mwanamke mwenzie! Mkuu ni kazi kubwa Sana unajipatia kuhangaika na waliokufa kiroho, kiakili, kiuchumi, kimwili yaaan unatafuta ushindi paliko shindikana? Pole Sana mkuu
Ujumbe umefika,wanakupinga huku wanaufanyia kazi kimyakimya!
Kumbishia mkubwa ni ukosefu wa adabu, nasemaje, mie nakojoa nae akojoe kmaa hataki tusisumbuane..Bro jukumu lako sio usumbufu
Au Sio?Kumbishia mkubwa ni ukosefu wa adabu, nasemaje, mie nakojoa nae akojoe kmaa hataki tusisumbuane..
Wakati nakojoa yeye alikuwa wapi? 😂🤣
Ndio, sasa tumeanza wote, tumenyonyana mate wote, sijui hivi wote, tumeanza lukafuana wote, sasa iweje we usikojoe mie nikojoe..Au Sio?
Mi ningekua men nasijawahi kojolesha mwanamke ningejiua tu maana huna maana hapa duniani na akhera na kuzimu..Ijumaa Kareem!
Kumkojoza mwanamke ni jambo rahisi Sana kuliko wanaume wengi wanavyohangaika kila siku kutaka kuwaridhisha wanawake.
Kuna Siri kuu mbili tuu kumkojoza mwanamke;
1. Uhuru wa mawasiliano.
Mwanamke huwezi kumkojoza kama hujampa Uhuru wa mawasiliano.
a) Mwanamke wako lazima umfanye ajihisi huru.
b) Awe huru kujieleza kwako.
Mwanamke anataka kusikilizwa, sio kwenye maamuzi nope! Masuala yote yanayohusu hisia na mapenzi mwanamke lazima umsikilize.
Mwanamke asiyehuru kwako huwezi kumkojoza.
Mwanamke usiyemsikiliza Huwezi kumkojoza.
Mpe Uhuru kiasi kwamba awe na uwezo na uhuru wa kukuambia Baby do this, shika hapa, gusa polepole, twende kasi, hapohapo,
Awe ma Uhuru wa kukuambia Leo ume under perform au Leo umepiga KAZI.
Raha ya kumpa Uhuru mwanamke kwenye game, mnafanya ngono kikahaba na mnakuwa wote On Fire...
Uhuru ni pamoja na kila mtu kuonyesha umalaika na ushetani wake.
Ukishakuwa MTU wa judgement, kuhukumu, kujifanya mtakatifu, kumhofia na kumtilia mashaka. Ni ngumu kumkojoza mwanamke.
2. Kumfanya awe na Hisia na Wewe.
Mwanamke huwezi kumkojoza kama Hana hisia na wewe.
Kama unamuudhi.
Kama huonyeshi kumpenda.
Kama humpi Furaha.
Alafu bahati no kuwa mambo hayo yote sio gharama.
Mwanamke ukimpiga matukio, akaanza kuwa na hofu ya mapenzi yake kwako hisia zake zinaweza kuhama au kuisha.
Mwanamke akiwa na hisia na wewe unaweza piga tako Kumi Tuu akakojoa. Kumi tuu.
Mfurahishe, mpende, kuwa Msafi. Mtunze. Mheshimu(yaani onyesha upendo kwake tuu hata kama unavimada vyako huko asijue).
Mkienda kwenye game mtoto atakuwa ameshalowa, KAZI yako ni ndogo tuu, kulainisha moyo wake na kupasha mafuta yake kwa kumtomasa sehemu nyeti.
Hasa kwenye Kinembe na sehemu zenye miishilizo ya mishipa mingi ya Neva.
Hakikisha mikono yako ni laini na safi kama wewe sio mdau wa kutumia Ulimi.
Elewa, maeneo yanayomsisimua mwanamke mengi yapo nje ya uke wake.
Epuka kuchomeka uume kwa nguvu, na harakaharaka bila mawasiliano na mwenza wako.
Mawasiliano yapo ya mwili na mdomo(maneno).
Unapoweka uume Ukeni mwanamke atakuwa anawasiliana na wewe kwa mwili wake kukupa taarifa uendelee kwa Kasi hiyohiyo au uongeze au upunguze. Mikono yake anaweza kuitumia kukuzuia bila kusema hii ni kumaanisha upunguze Kasi au usichomeke Kwa nguvu au kukuvuta kama anakukumbatia, hii itaashiria kuwa uendelee au uingize ndani zaidi au ongeza Kasi.
Kama umempa Uhuru Sana itakuwa faida kwako zaidi kwa sababu atakuwa akikuambia kwa mdomo wake ingawaje sio mara zote. Hivyo ni muhimu kuangalia mwili wake.
Ni vizuri kusoma mapigo ya moyo wake, pumzi, mwili kuchemka yaani kuanza kutoa kijasho chembamba, Uke kuzidi kuwa wamoto na misuli kukaza kama viashiria vya yeye kukaribia kufika mshindo.
Mshindo unapofika, anaweza kukakamaa, kupiga kelele bila dhamiri, kugeuza macho mdomo ameuachia kama MTU anayekata Moto, vidole vya Miguuni na mikononi kukaza, kurusha Maji, kujamba kisha baadaye mwili hulegea na jasho hutoka. Na mapigo ya moyo kwenda kwa kasi kisha baada ya muda kutulia kama kawaida.
Hapo atakukumbatia au kukushukuru kwa macho ya upendo na shukrani. Hii ni lazima.
Wengine huchoka na kulala(sio wote)
Wengine hutaka Maji ya kunywa (sio wote).
Hii inawahusu wanaume hasa Waliooa. Ambao Wanataka Wake zao wawaheshimu na wawe na Furaha.
Kumbuka, Mwanamke ukimkojoza umesolve asilimia 90% ya matatizo ya Ndoa yako. Kumaanisha Mahusiano yako utakuwa na furaha kwa asilimia 90%.
Vilivyobaki ndio Mambo ya Pesa n.k
Acha nipumzike Sasa.
TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
Acha kujikosesha utamu wewe,msubiri mwenzio mfike wote,kuna kijiraha flani hivi mkitimba kibo pamoja halafu uiachamo kidogo🤗🤗🤗🤗🤗Ndio, sasa tumeanza wote, tumenyonyana mate wote, sijui hivi wote, tumeanza lukafuana wote, sasa iweje we usikojoe mie nikojoe..
Yaani tupande sote gari moja la MPITIMBI ama PERAMIHO, kisha mie nifike we bado si uchawi huo 🤣😂
Ibakini inapwita 😂Acha kujikosesha utamu wewe,msubiri mwenzio mfike wote,kuna kijiraha flani hivi mkitimba kibo pamoja halafu uiachamo kidogo🤗🤗🤗🤗🤗
Kama umekojoa fasta mfano WA jogoo?Ibakini inapwita 😂
Mnapenda saana,
Ama ukishashusha mzigo unapunguza spidi ingiza toa, halafu mdogo mdogo unaongeza speed(unaunga)
Kukojoa pamoja kuna kautamu kake.
Mie shida yangu ipo wakati mie nakojoa ye alikuwa wapi!? 😂🤣
Nae si akojoe fasta kama KOO 🤣😂Kama umekojoa fasta mfano WA jogoo?