Kuna taarifa kuwa mwezi umeonekana Tandahimba jana tarehe 01/05/2022

Kuna taarifa kuwa mwezi umeonekana Tandahimba jana tarehe 01/05/2022

Niache Nteseke

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2020
Posts
2,162
Reaction score
2,616
Wasalaam,

Natumai mnaendelea salama wote, kuna taarifa inaenea sana kuwa mwezi umronekana jana maeneo ya Tandahimba na masheikh wa Bakwata, wakawapigia simu Bakwata makao makuu lakini wakazipuuza hizo taarifa na kuwatangazia raia kuwa mwezi haukuandama siku ya jana hivyo leo watu waendelee kufunga.

Hili limekaaje wakuu?

Mnataka ku justify ulafi wenu qa kufungua siku 29 ninyi wazee wa vipedo?

Jaribu kuficha upumbavu wako hata kama utakuwa ni mpumbavu kweli usijioneshe hadharani itakusaidia sana katika maisha yako ndugu.

Umesikiliza hiyo audio clip hao watu waliofanikiwa kuuona mwezi wapo sehemu gani na baada ya kuuona umeskia waliwasiliana na nani...? Au ndio unadhihirisha ni kiasi gani ulivyo mbumbumbu ndugu...?
 
Mnataka ku justify ulafi wenu qa kufungua siku 29 ninyi wazee wa vipedo?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kenya jana mwezi ulionekana Lamu na Kadhi mkuu wa Kenya akatangaza leo ni Eid kwa ukanda wote wa Afrika Mashariki.
Nchi zote za Afrika mashariki leo wamesali na kusheherekea Sikukuu ya Eid kitaifa kasoro Tanzania tu.
 
Tanzania sijui kuna shida gani kwenye kila nyanja ni kizungumkuti tu yaani.
 
Back
Top Bottom