Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Viongozi wa Bakwata wanalipwa mishahara na serikali ndio tatizo.Haya Mambo sijui yaliharibikia wapi..?
Kitambo ukionekana mahali popote Tanzania, unasikia hata mida ya saa nne usiku enzi hizo Radio Tanzania taarifa inatangazwa, na kulikuwa hakuna tatizo..
Sasa leo na Teknolojià hii bado hili suala la Mwezi kuonekana linaleta changamoto .
Hata magari wanayotumia wanapewa na serikali.
Hivi nikuulize tu yule Sheikh mkuu wa Dar kati ya msikitini na kwenye matukio ya serikali ni wapi anapatikana zaidi?