Renegade
JF-Expert Member
- Mar 18, 2009
- 7,221
- 6,940
Huyo Kadhi amepewa mamlaka na nani kutangaza sikukuu Afrika mashariki?[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kenya jana mwezi ulionekana Lamu na Kadhi mkuu wa Kenya akatangaza leo ni Eid kwa ukanda wote wa Afrika Mashariki.
Nchi zote za Afrika mashariki leo wamesali na kusheherekea Sikukuu ya Eid kitaifa kasoro Tanzania tu.