Niache Nteseke
JF-Expert Member
- Apr 29, 2020
- 2,162
- 2,616
Utatuuwa Huu Mwezi Jamaa😂😂😂😂😂huo mwezi mbona hekaheka hivyo🤣 ..
Mnataka ku justify ulafi wenu qa kufungua siku 29 ninyi wazee wa vipedo?
😂😂Utatuuwa Huu Mwezi Jamaa
Tupumzishe Kwanza
Utatuuwa Huu Mwezi Jamaa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kenya jana mwezi ulionekana Lamu na Kadhi mkuu wa Kenya akatangaza leo ni Eid kwa ukanda wote wa Afrika Mashariki.Mnataka ku justify ulafi wenu qa kufungua siku 29 ninyi wazee wa vipedo?
Ila hao unaowaita vipedo wana 30 jana sasa huo ulafi vipi?Mnataka ku justify ulafi wenu qa kufungua siku 29 ninyi wazee wa vipedo?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kenya jana mwezi ulionekana Lamu na Kadhi mkuu wa Kenya akatangaza leo ni Eid kwa ukanda wote wa Afrika Mashariki.
Nchi zote za Afrika mashariki leo wamesali na kusheherekea Sikukuu ya Eid kitaifa kasoro Tanzania tu.
Kazi ipo
Ila hao unaowaita vipedo wana 30 jana sasa huo ulafi vipi?