Kuna taarifa kuwa mwezi umeonekana Tandahimba jana tarehe 01/05/2022

Viongozi wa Bakwata wanalipwa mishahara na serikali ndio tatizo.

Hata magari wanayotumia wanapewa na serikali.

Hivi nikuulize tu yule Sheikh mkuu wa Dar kati ya msikitini na kwenye matukio ya serikali ni wapi anapatikana zaidi?
 
Teknolojia sasa hivi imekuwa sana,maana karibu kila mtu anamiliki smart phone,hivi kama hii hadithi mnayoongea ni kweli,wameshindwa hata kupiga picha au video itumike kama ushahidi kuwa mwezi umeandama...?
Huna logic, na ukitumiwa video ya mwaka juzi?
 
Waliwahi Hata Kutangaza saa 12.30 Alfajiri Watu wajiandaa kwenda maofisini na mashuleni Miaka ya 80 mwanzoni. Nasiku ikabadilika ikawa Holiday Badala ya Siku ya Kazi! Saa 12 Asubuhi....!
 
Si bora tuhesabu siku tuu tuache kubashiri kwa mwezi kama tuna beti ?
Hakuna anaebashiri kwa mwezi.

Mwezi unatangazwa na mahala husika na unahakikiwa kwamba umeonekana.

So hakuna watu wanaobeti bali wana ubakika na mwezi.
 
Ahsante sana kwa ufafanuzi huu kiongozi tatizo watu wanaleta mihemko kwenye jambo la msingi ndugu yangu.
 
Viongozi wa Bakwata wanalipwa mishahara na serikali ndio tatizo.

Hata magari wanayotumia wanapewa na serikali.

Hivi nikuulize tu yule Sheikh mkuu wa Dar kati ya msikitini na kwenye matukio ya serikali ni wapi anapatikana zaidi?

Ahsante sana kiongozi.
 
Waliwahi Hata Kutangaza saa 12.30 Alfajiri Watu wajiandaa kwenda maofisini na mashuleni Miaka ya 80 mwanzoni. Nasiku ikabadilika ikawa Holiday Badala ya Siku ya Kazi! Saa 12 Asubuhi....!

Tatizo ni mihemko na kuchanganya Dini na siasa mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…