Tetesi: Kuna taarifa Qatar waliwahonga wachezaji 8 wa Ecuador mabilioni ya pesa!

... nisingependa kucomment huu uzi! But haishangazi. Wale jamaa sio ajabu.
 
nimesoma mahali kwamba qatar iliwahonga wachezaji 8 wa ecuador mabilion ya pesa ili washinde mechi yao ya ufunguzi.inasemekana huo mchezo ulishtukiwa na mashushu na wachezaji hao 8 hawatacheza mechi ya leo!
Akili ndogo sana!!! Ya nini UTOE RUSHWA!!! QATAR walitakiwa kuwashawishi vijana kadha Waziri kutoka nchi kama za kiafrika na kuwapa uraia na hela, leo wangekuwa na TIMU. HIYO NI MATUMIZI TU YANLOGIC YA KAWAIDA....

Kwani HAO 8 hawajawachia QATAR, maana niulize tu kilichotokea
 
... hata maandizi ya FIFA World Cup 2022 ni matokeo ya rushwa; hilo liko wazi since then. Mnamkumbuka Sepp Blatter?
 
Kama ni kweli.... basi ule msemo wa hawaamini macho yao unafit hapa
 
Hiyp teesi ni kweli ipo imesambaa duniani.Quatar ni Yanga iliyochangamka
 
Hii vita ya Qatar ina angle nyingi sana kila ubaya atapewa mwaka huu kisa kakataa ushoga na pombe.
 
Mleta mada acha kukariri habari za Twitter na tiktok.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…