Super Handsome
JF-Expert Member
- Jul 16, 2013
- 3,844
- 6,448
Kuna Taarifa ambazo zinatajwa kuhusu kuuawa kwa Faru mmoja Aliyekuwa anahifadhiwa Na Mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro
Taarifa kutoka chanzo cha uhakika wilayani humo zinasema kwamba siku ya Alhamis iliyopita (31 may, 2018) askari wa mamlaka hiyo walivamia kijiji cha Bulati Kata ya Nainokanoka Na kutembeza kichapo Kwa wananchi WA kijiji hicho wanaodaiwa kumuua mnyama huyo adimu duniani.
Ikumbukwe kuwa wanyama hao wamefungwa GPRS devices ambazo sinasaidia kwenye ulinzi dhidi ya majangili.
Inasemekana kwamba Faru huyo alitorokq hifadhini Na kuelekea katika kijiji hicho Na baada ya kipigo cha mbwa koko walichopewa wananchi wakatoa ngozi waliokua wameificha ndani.
Uongozi wa mamlaka una-haha kuficha Taarifa hii isimfikie pogba!
Nb: Nimewahi kushiriki uhifadhi hasa WA wanyama hawa...jicho La nchi kiulinzi liko hapa Na serikali inawekeza billions of money ..wananchi wanaozunguka hifadhi KAZI mnayo! (Sina Picha zozote)