Tetesi: Kuna taarifa za Faru kuuawa Ngorongoro

Tetesi: Kuna taarifa za Faru kuuawa Ngorongoro

Kama faru alitoka mbugani na kuingia kwenye makazi ya watu walitegemea watu wangemfanya nini mnyama huyo hatari?Hukumu ya kifo ndiyo saizi yake kabla ajaleta maafa.
 
Hao wananchi wachukuliwe hatua mara moja ....
 
Kama ni faru magufuli.... faru ndugai au fausta imekula kwao....

Hao rhino wanatunzwa kama raisi mwenyewe.....
 
  • Thanks
Reactions: SDG
kama ndio iko hivyo " Afadhali waendelee kuwapa sumu hivyo hivyo " mwaga mboga na mwaga ugali "" nchi ya wote hii" so iweje manufaa ya rasilimali asili zilizopo ziwanufaishe tu baadhi ya watu Fulani "" waambie waje ni wapatie sumu nyingine "" .....ninayo ile ya wa Russia " waliyoitumia kutaka kumdedisha yule jasusi wao mnoko mnoko aliyepewa hifadhi Uingereza
Hahahaha Sergei Skripal
 
hilo faru lingekua linazaliana kama binadamu au panya kusingekua na shida hii!!
 
Kuna Taarifa ambazo zinatajwa kuhusu kuuwawa Kwa Faru mmoja Aliyekuwa anahifadhiwa Na Mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro

Taarifa kutoka chanzo cha uhakika wilayani humo zinasema kwamba siku ya alhamis iliyopita (31 may, 2018) askari wa mamlaka hiyo walivamia kijiji cha Bulati Kata ya Nainokanoka Na kutembeza kichapo Kwa wananchi WA kijiji hicho wanaodaiwa kumuua mnyama huyo adimu duniani.

Ikumbukwe kua wanyama hao wamefungwa GPRS devices ambazo sinasaidia kwenye ulinzi dhidi ya majangili.

Inasemekana kwamba Faru huyo alitorokq hifadhini Na kuelekea katika kijiji hicho Na baada ya kipigo cha mbwa koko walichopewa wananchi wakatoa ngozi waliokua wameificha ndani.

Uongozi WA mamalaka una-haha kuficha Taarifa hii isimfikie pogba!

Nb: Nimewahi kushiriki uhifadhi hasa WA wanyama hawa...jicho La nchi kiulinzi liko hapa Na serikali inawekeza billions of money ..wananchi wanaozunguka hifadhi KAZI mnayo! (Sina Picha zozote)
Yaani bilions zimewekwa kwenye wanyama wakati Muhimbili CT SCAN imekufa
 
Back
Top Bottom