soine
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 2,113
- 2,329
Tunatuba Billions of money kwenye faru ,its nonsense.
Sio nonsense jombaa...kitu kinaitwa linda rasimali yako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunatuba Billions of money kwenye faru ,its nonsense.
Ni very rare kupata kesi za Namna hiyo, kwanza wamvamie wanajitaka?Hivi simba wakimvamia faru wakamuua imekaaje..?
Sahihi kabisa!! actually mantiki mzima ya Uzi huu ni hicho ulichodokeza!Kuna walakini hapa. Haiwezekani! Faru amefungwa GPRS na mara zote hawa faru wanakuwa ktk maeneo rahisi kuwa spotted! Wakati anatoka hifadhini Wahusika walikuwa Wapi? Nini kilichowajulisha waende uelekeo wa Nainokanoka na sii kwingine?
Hisia zangu zinaniambia kuwa sii Wananchi waliomuua huyo Faru. Wahusika wapo humohumo! Kilichofanyika Ni kwenda kupandikiza hiyo ngozi kijijini ili kuwe na justification ya kichapo chenye lengo la kuficha ukweli! Yote kwa yote, wahusika wa ulinzi wa huyo Faru wanapaswa kuwa Mahabusu by now! Kigwangala hapa umetegwa, shughulisha AKILI YAKO VIZURI!
Nilikuwa natafuta comment kama hii, ili kama nisingeiona ningecomment kwa maneno ya kufanana na haya. Asante sana mkuuyani acha wauwawe tu. Mtatumiaje mabilion kuyatunza mifaru na mitembo wakati binadamu wenzenu mnawabomolea nyumba/makazi na matusi juu. Wengine mlo mmoja tu shida. Unadhani mungu anapendezwa.
Watu wanapiga pesa tu hakuna kulinda hapo ndio maana kauawa,watu wanapiga billions za bure,angekuwa full monitored hasingeuliwa.Sio nonsense jombaa...kitu kinaitwa linda rasimali yako
Nipe umuhimu mmojaFaru ana umuhim kuliko ct scan yako kitulize dogo!